Chunga usiisugue mpaka ikaota magamba kama magome ya miti.Vp na app za porn unaweza kushea mkuu?
Nitashukuru sana
Jaribu ku Update SystemView attachment 3169915View attachment 3169916wakuu habar za mda huu mm tv yang ni smart ila nikijaribu kuingia Netflix haisogei kwa chochote hap nabonyeza button zote inagoma hapo palipoandikwa get started au kule juu login inagoma kabisa naomba msaada nawez kufnyje
Cricfy kuna sehemu ya kuchagua quality.Kidude kinayeyusha MB sio poa, kwa wale wa kujiunga bando la wiki linaloisha kwa saa 1 wakae mbali
Mbadala wa Cricfy ni YACINE TV. Yenyewe inakupa mpaka min 244p halafu ni nyepesi sana na file lake ni 10mb tu.Cricfy kuna sehemu ya kuchagua quality.
Ukijifanya kuchagua 4K, 1080P, 720P wakati hauna unlimited basi dakika 10 nyingi unaletewa text ya "Ndugu mteja, umetumia 75% ya kifurushi chako".
Kama una bando la kuungaunga weka quality ya 480P kushuka chini.
ambayo
Kwani hili file unawz kuliinstall kwa tv?Mbadala wa Cricfy ni YACINE TV. Yenyewe inakupa mpaka min 244p halafu ni nyepesi sana na file lake ni 10mb tu.
Ninayo ambayo nimei patch tayari ila sidhani kama inawezekana kuattach file la apk hapa.
Kama ni android tv Yes unawezaKwani hili file unawz kuliinstall kwa tv?