Crescentius Magori, ni nani kwenye serikali ya Magufuli?

Updates

SEFUE
SHITINDI
JENISTA MHAGAMA

Tayari washaamua kujiondoa kwenye hii conspiracy maana na wao wana yao

Kabaki KITWANGA na BULEMBO

Mwishowe Magori atabaki peke yake
 
Why all this efforts kuwashambulia good guys akina erick shitindi...kitwanga...mna lenu jambo..aliyetumbuliwa na atumbuliwe tu...msichafue watu wengine kutafuta sympathy au kuzuia fulani asiteuliwe
 
Hivi fitna na pesa walizozitumia akina Jenista Mhagama, Magori, Shitindi, charles Kitwanga na Sefue kumwondoa Dau NSSF wameshindwa kupata competent candidate zaidi ya huyu Mama Mganda?

Out of watu milioni 50 wameshindwa kupata raia wa Tanzania mwenye uwezo na nafasi ya kuliongoza hili shirika?

Sielewi ilikuwaje Sefue akaingizwa kwenye hii cabal ya akina Magori.
 
Kiongozi inaonekana umeumia sana kuondolewa DAU ulitaka azeekee pale NSSF? siunajua lile ni shirika la UMA?
 
Kiongozi inaonekana umeumia sana kuondolewa DAU ulitaka azeekee pale NSSF? siunajua lile ni shirika la UMA?

La hasha

Dr Dau hakuzaliwa afanye kazi na azeekee NSSF

Issue hapa ni kuwa kaondolewa pale kwa zengwe la UDINI ambalo lilitengenezwa na hao niliowataja

Tusisahau kuwa hakuna aliyewahi kuleta ushaidi wa kuthibitisha hizi tuhuma

Pia

Tusisahau kuwa Rais Mkapa Ndiye aliyemwamini na kumpa hii nafasi, Mkapa naye alipelekewa taarifa za uwongo kuhusu Dau na Udini, alipowaambia wapeleka taarifa wampe ushaidi wakashindwa kuwasilisha kwani walikuwa hawana

Kwa nini asihukumiwe kwa utendaji wake ? Kwa nini ahukumiwe kwa sababu ya Imani yake?
 
Jenistha Mhagama (Waziri wa Kazi na Ajira Jenistha Mgagama

Katibu Mkuu wiraza ya Kazi na Ajira (Erick Shitindi)

Waziri wa Mambo ya Ndani (Charles Kitwanga)

Mkurugenzi wa Operations wa NSSF (Magori)

Mwenyekiti wa wazazi CCM (Abdallah bulembo)

Katibu Mkuu kiongozi (Ombeni Sefue)

Hawa wenyewe wanajiita THE GANG OF 6 Wametumia pesa, influence, fitna,vitisho vya mauaji (hii sitoliongelea sana kwani vyombo vya dola vinafanya kazi yake) na kadhalika na kupeleka taarifa za Uwongo kwa Mheshimiwa Rais Magufuli juu ya Dr. Ramadhani Dau ambaye ni MTANZANIA ASILIA , lakini baada ya USALAMA WA TAIFA kupeleka taarifa za UKWELI zilizomsafisha Dr Dau kuwa pamoja na rekodi yake iliyotukuka ya uchapakazi ni mwadilifu na Mzalendo na anaendana na kasi ya Dr Magufuli ya Hapa Kazi tuuu Rais amekasirika sana amekataa kabisa kuwasikiliza na kuwaambia kama hawana ushahidi zaidi ya tuhuma za uwongo kuwa Dr Dau ni Mdini wawasilishe barua zao za kujiuzulu

Sasa THE GANG OF 6 wamekwama kwani walikuwa wanajiandaa kumtawaza Magori chap chap ame mkurugenzi mkuu wa NSSF. Lakini tukumbuke kuwa magori amekuwa anajitangazia kuwa ni asifa mkuu sana USALAMA WA TAIFA wakati ukweli ni kuwa si afisa wa usalama, hajawajhi kuwa afisa usalama, na hawezi kuwa afisa wa idara iliyotukuka kama usalam. Faili lake uslama linamengi sana lakini zaidi ki tabia linasema kuwa Mgori ana tendencies za "WALTER MITTY CHARACTRER" kwa maneno mengine ni mtu wa fantasies na kadhalika.

lakini baada ya mpango wao kuvuja kwenye mitandao ya kijamiii sasa jioni hii Waziri Jenistha Mhagama ameamua kumpa Nafasi ya Ukurugenzi Mkuu RAIA WA UGANDA,

Tukumbuke kuwa:

Hii nafasi haikutangazwa ili watanzania wengine MILIONI 50 wapate nafasi ya kuomba?

Huyu mama si MTANZANI bali ni Raia wa UGANDA ambaye aliolewa na Mtanzania

Huyu Mama Hakuwahi kuukana Uraia wake wa UGANDA

Huyu mama hakuwahi kuomba uraia wa Tanzania

Huyu mama hakufaulu vetting ya USALAMA WA TAIFA (TISS)

Huyu mama HAKUOMBA hiyo nafasi aliyopewa na marafiki zake niliowataja hapo juu

Huyu mama hakufanyiwa DUE DILIGENCE na idara zote husika

Huyu mama hakuthibitishwa na bodi ambayo ilivunjwa na shitindi baada ya kupigwa presha na akina Kitwanga na Jenistha Mhagama

Mengine nakuleteeni baadae. Lakini dekezo ni kuwa baada ya Mheshimiwa Rais kuonyeshwa kuwa amekuwa mislead kwenye hili jambo katibu mkuu kiongozi Sefue naye kaamua kuwatosa na sasa amesha mline up mtu wake. Ila inaonekana kuwa Jenistha naye amefanya maamuzi bila kufuata mwongozo na sheria za utumishi.

Jamani mniwie radhi kwani inbox yangu imejaaa na siwezi kumjibu kila mtu hivyo mwenye maswali zaidi ayaweke wazi kwenye huuu uzi

Angalizo. Nasema hivi...Dr Ramadhani Dau hakuzaliwa ili afanye kazi na azeekee NSSF. Lakini kama anakosolewa basi akosolewe kwa kuangalia track record yake na sio maadui zake kumtuhumu bila ushaidi kuwa ni mdini (anapendelea waislam) pasipo ushaidi wowote ule.

Nitarudi baada ya dakika kumi naona bando yangu inaisha punde tuuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…