credit officer at BARODA Bank

credit officer at BARODA Bank

Aggiegra

Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
19
Reaction score
2
hello,

kwa wale wenye ufahamu kuhusu hii bank naomba mnisaidie, nataka kufahamu salary na mazingiza ya kazi ya hii bank. sijawahi fanya kazi na wahindi so itakuwa experience mpya. mwenye ufahamu anijuze tafadhali.

kwa sasa ninafanya kazi hiyo hiyo sehemu fulani sasa nataka nilinganishe.

asanteni.
 
uuuuwiiiii baki hukohuko naongea ktoka moyoni ni wabahili sana na wanyanyasaji. Hawalipi cha maana na utatumikishwa had udate
 
uuuuwiiiii baki hukohuko naongea ktoka moyoni ni wabahili sana na wanyanyasaji. Hawalipi cha maana na utatumikishwa had udate

asante ladyfocus, naomba uniambie wananyanyasa kivipi? gross salary inaweza kuwa ngapi?
 
Last edited by a moderator:
wahindi wanafanana, lakini jiamini, nenda kapige interview kijana, wala usiombe ushauri wa kukuogopesha. maisha na bahati kati ya mtu na mtu hutofautiana. Panga mshahara mwenyewe, ukifika taja as u can price urself!
 
Mamaaaaaaaa,.. Baroda kama wewe ni mwanaume basi umeingia LADIES TOILET also the opposite remain ceteris paribus,. yaani ,.. bakia huko huko,.. net salary ya credit officer ni 435,000/= after all deduction but itadepend wewe ni mhindi kama mimi au ni black,..

pole sana,..
 
asante kwa kunitia moyo.Mungu akubariki
 
Mamaaaaaaaa,.. Baroda kama wewe ni mwanaume basi umeingia LADIES TOILET also the opposite remain ceteris paribus,. yaani ,.. bakia huko huko,.. net salary ya credit officer ni 435,000/= after all deduction but itadepend wewe ni mhindi kama mimi au ni black,..

pole sana,..
PENA UNITED ya kweli hayo? kuna mtu ameniambia kwa credit officer gross ni 1.2m ila ndo hivyo wanakuataiti sana. sasa ninataka nipate picha halisi. am black but i dont have any problem working with different races though i know it really challenging. but am confident that through challenges i will grow career wise..

kazi yangu ya sasa haina changamoto nyingi hivyo sioni kama najifunza kitu kipya
 
Last edited by a moderator:
Nakushauri kama una kazi yako usiende pale ila kama umetoka shuleni nenda kapate uzoefu ukishapata tafuta bank zingine za maana!
 
Back
Top Bottom