Nimeombwa ushauri hapa benki gani nzuri Kati ya hizo hapo juu au Kama Kuna nyinginezo kwenye:
Yenye kuoperate dollar account
Huduma bora Na za kisasa.
Matawi Mengi yaliyotapakaa nje Na ndani ya nchi.
Makato yawe considerable au ya chini.
Shukrani kwa msaada wako.
Makato yao yapoje? Wana master card? Wana dollar account? Wahudumu wao wapoje?
barclays is the best.they have economic tarriffs,experienced&proffesional workers,they serve customer like waooo!. crdb also but their problems are system failure sometimes&time delivery but it is good bank.both barclays&crdb and u can consider them when asking for loan. stanbic=strange tariff guides. standard chartered=good but not much branches in tz. i used all of those banks.Fnb is good also but not much branches in tz.
Ndio mkuu..mfano, ukituma TT marekani leo saa mbili, saa nane beneficiary anapokea mlungula...sijawai kuona hiyo kitu benki zingine mkuuUna experience nao?