Sio nataka kujulikana ila tu kwa ambao hawana miaka mitatu hapa ila kila uzi wanakuwa Mention ila mimi mwenye miaka kumi na sijawahi kutajwa hata kwa bahati mbaya.