Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,137 Reaction score 33,585 Feb 20, 2026 #181 mapema said: Hata sitaki, naona bora kuwa asie kulika na, bora sana kuwa unpopular, unakuwa na amani na furaha sana. Click to expand... Kwahiyo sisi hatuna amani mkuu! Punguza hasira ule ni utani tu 🤭🏃🏽♀️
mapema said: Hata sitaki, naona bora kuwa asie kulika na, bora sana kuwa unpopular, unakuwa na amani na furaha sana. Click to expand... Kwahiyo sisi hatuna amani mkuu! Punguza hasira ule ni utani tu 🤭🏃🏽♀️
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 2,721 Reaction score 8,008 Feb 20, 2026 #182 JaxenDL said: Apo nimemzimikia win-one ❤️🔥. Nikipata hati ya dunia nitafukuza wote tubaki wawili tu 🙃 Click to expand... sasa huyo win wa Al sio Winn-one halisi aloooo,,, utapigwa na kitu kizito🤣🤣🤣
JaxenDL said: Apo nimemzimikia win-one ❤️🔥. Nikipata hati ya dunia nitafukuza wote tubaki wawili tu 🙃 Click to expand... sasa huyo win wa Al sio Winn-one halisi aloooo,,, utapigwa na kitu kizito🤣🤣🤣
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 2,721 Reaction score 8,008 Feb 20, 2026 #183 Seran said: Usiondoke bwana, basi uondoke na win-one kuliko kutoka kapa🫢🏃🏽♀️ Click to expand... humu ndani,, kwahiyo unataka kuniuza dada ako 🥴🙌😁
Seran said: Usiondoke bwana, basi uondoke na win-one kuliko kutoka kapa🫢🏃🏽♀️ Click to expand... humu ndani,, kwahiyo unataka kuniuza dada ako 🥴🙌😁
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,137 Reaction score 33,585 Feb 20, 2026 #184 win-one said: humu ndani,, kwahiyo unataka kuniuza dada ako 🥴🙌😁 Click to expand... Kijana Harmful amekuelewa sana bana😂
win-one said: humu ndani,, kwahiyo unataka kuniuza dada ako 🥴🙌😁 Click to expand... Kijana Harmful amekuelewa sana bana😂
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 6,467 Reaction score 11,549 Feb 20, 2026 #185 Seran said: Ukaage kule selfika ujiokotee mitoto mizuri comrade😂 Click to expand... Hembu nipe link
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 3,192 Reaction score 4,547 Feb 20, 2026 #186 Seran said: Kwamba?? Click to expand... Tumuulize Langa, sema keshazikwa. Ila usiwaze sana mwamba wangu
Seran said: Kwamba?? Click to expand... Tumuulize Langa, sema keshazikwa. Ila usiwaze sana mwamba wangu
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,137 Reaction score 33,585 Feb 20, 2026 #187 comrade_kipepe said: Hembu nipe link Click to expand... Kwamba huujui uzi wa selfika?
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 6,467 Reaction score 11,549 Feb 20, 2026 #188 Seran said: Kwamba huujui uzi wa selfika? Click to expand... Sijawahi kuuona
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 2,696 Reaction score 6,229 Feb 20, 2026 #189 mapema said: Na kufahamu sana , na nina kusoma sana. Sio nataka kujulikana ila tu kwa ambao hawana miaka mitatu hapa ila kila uzi wanakuwa Mention ila mimi mwenye miaka kumi na sijawahi kutajwa hata kwa bahati mbaya. Click to expand... Usihofu mkuu tutakutaja😹kama wewe ni GenZ
mapema said: Na kufahamu sana , na nina kusoma sana. Sio nataka kujulikana ila tu kwa ambao hawana miaka mitatu hapa ila kila uzi wanakuwa Mention ila mimi mwenye miaka kumi na sijawahi kutajwa hata kwa bahati mbaya. Click to expand... Usihofu mkuu tutakutaja😹kama wewe ni GenZ
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 2,696 Reaction score 6,229 Feb 20, 2026 #190 mapema said: Hata sitaki, naona bora kuwa asie kulika na, bora sana kuwa unpopular, unakuwa na amani na furaha sana. Click to expand... Napenda unavyojifariji 😍
mapema said: Hata sitaki, naona bora kuwa asie kulika na, bora sana kuwa unpopular, unakuwa na amani na furaha sana. Click to expand... Napenda unavyojifariji 😍
mapema JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 920 Reaction score 2,834 Feb 20, 2026 #191 Mallerina said: Napenda unavyojifariji 😍 Click to expand... Hahaha! Hata sijifariji my friend kwa kiasi ndivyo nilivyo
Mallerina said: Napenda unavyojifariji 😍 Click to expand... Hahaha! Hata sijifariji my friend kwa kiasi ndivyo nilivyo
mapema JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 920 Reaction score 2,834 Feb 20, 2026 #192 Mallerina said: Usihofu mkuu tutakutaja😹kama wewe ni GenZ Click to expand... Daaah ! Kwa kiasi chake u Genz Nisha karibia Sana kuvuka . Hata hivyo nitafurahi karibu Sana.
Mallerina said: Usihofu mkuu tutakutaja😹kama wewe ni GenZ Click to expand... Daaah ! Kwa kiasi chake u Genz Nisha karibia Sana kuvuka . Hata hivyo nitafurahi karibu Sana.
mapema JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 920 Reaction score 2,834 Feb 20, 2026 #193 Seran said: Kwahiyo sisi hatuna amani mkuu! Punguza hasira ule ni utani tu 🤭🏃🏽♀️ Click to expand... Hahahah, najua utani rafiki
Seran said: Kwahiyo sisi hatuna amani mkuu! Punguza hasira ule ni utani tu 🤭🏃🏽♀️ Click to expand... Hahahah, najua utani rafiki
mapema JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 920 Reaction score 2,834 Feb 20, 2026 #194 Seran said: Punguza hasira mkuu😅 Click to expand... Hahaha , basi chukua namba kutoka kwake.
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,137 Reaction score 33,585 Feb 20, 2026 #195 mapema said: Hahaha , basi chukua namba kutoka kwake. Click to expand... Kanikazia we ngoja aje😅
mapema JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 920 Reaction score 2,834 Feb 20, 2026 #196 Seran said: Sawa basi zile kule haziendani na uhalisia hata kidogo🫢 tumebuni tu kwahiyo usifikiri tumekutenga mkuu tuko pamoja! Click to expand... Waohh! Asantee
Seran said: Sawa basi zile kule haziendani na uhalisia hata kidogo🫢 tumebuni tu kwahiyo usifikiri tumekutenga mkuu tuko pamoja! Click to expand... Waohh! Asantee
mapema JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 920 Reaction score 2,834 Feb 20, 2026 #197 Seran said: Itakuwa umezeeka sasa gen z wameshika hatamu🫢 Click to expand... Bado kidogo bwana ! Bado kama miaka miwili kuvuka Genz. Sa natamani nisipitwe Sana nikose cha kuhadithia
Seran said: Itakuwa umezeeka sasa gen z wameshika hatamu🫢 Click to expand... Bado kidogo bwana ! Bado kama miaka miwili kuvuka Genz. Sa natamani nisipitwe Sana nikose cha kuhadithia
mapema JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 920 Reaction score 2,834 Feb 20, 2026 #198 Seran said: ELI COHEN mpaka sasa hajakupa maelekezo! Kijana unakwama wapi? Watu wanamtapeli sana kaka wa watu wakati waaminifu tumejaa humu😂 Click to expand... Umeonae ! Napigwa za uso kinyama. Fanya kunipa hata lipa namba unywe soda ya kufuturu.
Seran said: ELI COHEN mpaka sasa hajakupa maelekezo! Kijana unakwama wapi? Watu wanamtapeli sana kaka wa watu wakati waaminifu tumejaa humu😂 Click to expand... Umeonae ! Napigwa za uso kinyama. Fanya kunipa hata lipa namba unywe soda ya kufuturu.
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,137 Reaction score 33,585 Feb 20, 2026 #199 mapema said: Bado kidogo bwana ! Bado kama miaka miwili kuvuka Genz. Sa natamani nisipitwe Sana nikose cha kuhadithia Click to expand... Kumbe bado! Basi jikaze kidogo huwezi kosa cha kusimlia😅
mapema said: Bado kidogo bwana ! Bado kama miaka miwili kuvuka Genz. Sa natamani nisipitwe Sana nikose cha kuhadithia Click to expand... Kumbe bado! Basi jikaze kidogo huwezi kosa cha kusimlia😅
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,137 Reaction score 33,585 Feb 20, 2026 #200 mapema said: Umeonae ! Napigwa za uso kinyama. Fanya kunipa hata lipa namba unywe soda ya kufuturu. Click to expand... Sio uji tena ni soda😃
mapema said: Umeonae ! Napigwa za uso kinyama. Fanya kunipa hata lipa namba unywe soda ya kufuturu. Click to expand... Sio uji tena ni soda😃