Hii ni kwa ndugu zangu wanaobeba simu nilizozitaja hapo juu na bado wanahangaikia kupata internet kwenye laptop zao kwa modems,ethernet nk bila kujua kuwa simu zao ni VIRTUAL ROUTER
Android
Nenda kwenye network settings then enable Tethering..ni vizuri ukiconfigure uipe Name and password.ukienable wifi kwenye laptop yako itadetect hiyo hotspot
Iphone
Nayo pia utaenda Settings..then general na kukuta Tethering and Hotspot.do as above
Hii pia itasaidia kupunguza gharama za packages nyingi ns pia itakuwezesha kutumia na kumaliza bundles unazonunua katika simu halafu huzitumii kabla hazija-expire
ANGALIZO;
Phone battery drains faster so uwe na chaja karibu
Vice versa unaweza kutumia internet ulio nayo katika laptop kwenye other wire less devices kama simu,Ipad,Tablets etc
Simply download Virtual Router Plus, install and launch exe file
Windows security might attempt blocking-just choose Run Anyway then start the virtual router plus.utaconfigure jina la wifi yako na pia password
Karibuni na gonga like kama post imekuwa useful kwako
thanx kaka,nina katechno kangu p3 kanafanya mambo yote haya tena bila tabu,laptop ipo huku,katechno kangu kapo pale nasurf net vzuri tu tena kwa spidi ya kimbunga,technolojia kweli nyoko brodaaa
thanx kaka,nina katechno kangu p3 kanafanya mambo yote haya tena bila tabu,laptop ipo huku,katechno kangu kapo pale nasurf net vzuri tu tena kwa spidi ya kimbunga,technolojia kweli nyoko brodaaa
steveachi bora wewe unafaidika hivyo.wengine hubeba modem au router kwa kazi hiyo na bundle ikiisha hana ujanja wakati kwenye simu ana MB's kibao zinasubiri kuexpire
Remember...the cheapest internet bundles zipo kwenye simu,watu huzinunua then anatuma msg mbili tatu whatsapp na viber au anaperuzi facebook anaacha. kesho yake akiamka zimeexpire