CRDB yatangaza kupungua kwa faida gawio nalo kupungua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CRDB yatangaza kupungua kwa faida gawio nalo kupungua

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by NgomaNzito, Apr 5, 2012.

 1. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Benk kubwa hapa nchini CRDB imetangaza kutoa gawio la sh 9 kwa hisa baada kupigwa mahesabu na kuonyesha kupungua kwa faida mwaka uliopita wamepata bil.19.6 tu kutoa kodi.
  My take
  Hii ni dalili za kuporomoka kwa benk kama watu walidai huko nyuma kuwa mahesabu ya benk yanapikwa
   
Loading...