C Comrade ZD Member Joined Jan 7, 2013 Posts 26 Reaction score 11 Jan 8, 2013 #1 Salaam wakuu! Ningependa kujua mwenye kufahamu CRDB km wametangaza ajira hivi karibuni. Regards!
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Jan 8, 2013 #2 Hapana hawajatangaza ajira, wakiwa na upungufu wa wafanya kazi wataajiri na kutangaza.
C Comrade ZD Member Joined Jan 7, 2013 Posts 26 Reaction score 11 Jan 8, 2013 Thread starter #3 Thanx mkuu. Lakini hawa watu huwa wanatangaza wapi nafasi zao za kazi? Maana sijawahi kukutana nazo tangu nizaliwe! Lol! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Thanx mkuu. Lakini hawa watu huwa wanatangaza wapi nafasi zao za kazi? Maana sijawahi kukutana nazo tangu nizaliwe! Lol! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,618 Reaction score 13,880 Jan 8, 2013 #4 mkuu utasubili sana!ni bank chache sana zinazotangaza ajira zao!na cha ajabu kila cku unakuta wafanyakazi wapya!!hapo mi ndio huwa nachoka!!
mkuu utasubili sana!ni bank chache sana zinazotangaza ajira zao!na cha ajabu kila cku unakuta wafanyakazi wapya!!hapo mi ndio huwa nachoka!!
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,980 Jan 8, 2013 #5 prakatatumba said: hapana hawajatangaza ajira, wakiwa na upungufu wa wafanya kazi wataajiri na kutangaza. Click to expand... wewe ndo msemaji wa crdb
prakatatumba said: hapana hawajatangaza ajira, wakiwa na upungufu wa wafanya kazi wataajiri na kutangaza. Click to expand... wewe ndo msemaji wa crdb
C Comrade ZD Member Joined Jan 7, 2013 Posts 26 Reaction score 11 Jan 8, 2013 Thread starter #6 Lol! Sasa mkubwa White Wizard! Unanishauri vp hapo? Nyenzo gani za kutumia ili kuwabaini hawa watu pindi wakihitaji watu wapya? Samahani lakini. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Lol! Sasa mkubwa White Wizard! Unanishauri vp hapo? Nyenzo gani za kutumia ili kuwabaini hawa watu pindi wakihitaji watu wapya? Samahani lakini. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
MchagaWaUlaya Member Joined Jan 4, 2013 Posts 88 Reaction score 48 Jan 8, 2013 #7 Kuwa mvumilivu kwanza waishe wahaya Alaf ndugu na marafik wa wafanya kaz then utaona wametangaza
Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,230 Jan 8, 2013 #8 Huwa WANAAJIRI KWANZA, ndipo wanajifanya kutangaza nafasi za kazi, tafuta mtaji, ajira Tanzania ni yatima asiye na msimamizi
Huwa WANAAJIRI KWANZA, ndipo wanajifanya kutangaza nafasi za kazi, tafuta mtaji, ajira Tanzania ni yatima asiye na msimamizi
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Jan 8, 2013 #9 Non of your business, haina umuhimu wa kujua mimi ni nani, mi nimetoa taarifa msaada kwa muanzisha thread kwa kile nilichokuwa na uhakika nacho, obama wa bongo said: wewe ndo msemaji wa crdb Click to expand...
Non of your business, haina umuhimu wa kujua mimi ni nani, mi nimetoa taarifa msaada kwa muanzisha thread kwa kile nilichokuwa na uhakika nacho, obama wa bongo said: wewe ndo msemaji wa crdb Click to expand...
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Jan 8, 2013 #10 Peleka CV yako kwa hr pale Azikiwe CRDB ghorofa ya nne. Comrade Danny said: Thanx mkuu. Lakini hawa watu huwa wanatangaza wapi nafasi zao za kazi? Maana sijawahi kukutana nazo tangu nizaliwe! Lol! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums Click to expand...
Peleka CV yako kwa hr pale Azikiwe CRDB ghorofa ya nne. Comrade Danny said: Thanx mkuu. Lakini hawa watu huwa wanatangaza wapi nafasi zao za kazi? Maana sijawahi kukutana nazo tangu nizaliwe! Lol! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums Click to expand...
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,980 Jan 8, 2013 #11 prakatatumba said: Non of your business, haina umuhimu wa kujua mimi ni nani, mi nimetoa taarifa msaada kwa muanzisha thread kwa kile nilichokuwa na uhakika nacho, Click to expand... Mbona povu linakutoka kaka mimi sinimekuuliza tu! isije ukawa ni cleaner hapa CRDB HQ
prakatatumba said: Non of your business, haina umuhimu wa kujua mimi ni nani, mi nimetoa taarifa msaada kwa muanzisha thread kwa kile nilichokuwa na uhakika nacho, Click to expand... Mbona povu linakutoka kaka mimi sinimekuuliza tu! isije ukawa ni cleaner hapa CRDB HQ
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Jan 8, 2013 #12 Hakuna haja ya kunifahamu. obama wa bongo said: Mbona povu linakutoka kaka mimi sinimekuuliza tu! isije ukawa ni cleaner hapa CRDB HQ Click to expand...
Hakuna haja ya kunifahamu. obama wa bongo said: Mbona povu linakutoka kaka mimi sinimekuuliza tu! isije ukawa ni cleaner hapa CRDB HQ Click to expand...
MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 618 Reaction score 280 Jan 8, 2013 #13 prakatatumba said: Peleka CV yako kwa hr pale Azikiwe CRDB ghorofa ya nne. Click to expand... unaweza ku upload cv yao kwenye website yao. wao tayari wana watu ambao wameshaingiza cv zao kwao so hawahitaji kutangaza.
prakatatumba said: Peleka CV yako kwa hr pale Azikiwe CRDB ghorofa ya nne. Click to expand... unaweza ku upload cv yao kwenye website yao. wao tayari wana watu ambao wameshaingiza cv zao kwao so hawahitaji kutangaza.
C Comrade ZD Member Joined Jan 7, 2013 Posts 26 Reaction score 11 Jan 8, 2013 Thread starter #14 MAKOLE said: unaweza ku upload cv yao kwenye website yao. wao tayari wana watu ambao wameshaingiza cv zao kwao so hawahitaji kutangaza. Click to expand... Mkuu! Unaweza kunidirect mahala sahihi pa ku upload Cv from website yao? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
MAKOLE said: unaweza ku upload cv yao kwenye website yao. wao tayari wana watu ambao wameshaingiza cv zao kwao so hawahitaji kutangaza. Click to expand... Mkuu! Unaweza kunidirect mahala sahihi pa ku upload Cv from website yao? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
E Existentialist JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 554 Reaction score 377 Jan 8, 2013 #15 Kwa taarifa nyepesi nyepesi wanarecruit mwezi huu so peleka CV yako mapema HQ azikiwe...usiulize nimezipata wapi nimetoa msaada kama mwana JF Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwa taarifa nyepesi nyepesi wanarecruit mwezi huu so peleka CV yako mapema HQ azikiwe...usiulize nimezipata wapi nimetoa msaada kama mwana JF Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
J Juakali2012 Member Joined May 27, 2012 Posts 12 Reaction score 2 Jan 8, 2013 #16 Kwani we ni mchaga mbona unauliza nafasi za kazi crdb.
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,920 Jan 8, 2013 #17 obama wa bongo said: wewe ndo msemaji wa crdb Click to expand... hapana yeye ndo mkereketwa wa nafasi za ajira za crdb.....
obama wa bongo said: wewe ndo msemaji wa crdb Click to expand... hapana yeye ndo mkereketwa wa nafasi za ajira za crdb.....
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,920 Jan 8, 2013 #18 Juakali2012 said: Kwani we ni mchaga mbona unauliza nafasi za kazi crdb. Click to expand... na pia una GPA ya Upper Second? wiki kadhaa nilimsikia boss flan hivi pale lumumba anamuuliza jamaaa GPA hiyo nilichoka...
Juakali2012 said: Kwani we ni mchaga mbona unauliza nafasi za kazi crdb. Click to expand... na pia una GPA ya Upper Second? wiki kadhaa nilimsikia boss flan hivi pale lumumba anamuuliza jamaaa GPA hiyo nilichoka...
MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 618 Reaction score 280 Jan 9, 2013 #19 Comrade ZD said: Mkuu! Unaweza kunidirect mahala sahihi pa ku upload Cv from website yao? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums Click to expand... Careers ingia hapa utakuta sehemu ya ku-upload cv
Comrade ZD said: Mkuu! Unaweza kunidirect mahala sahihi pa ku upload Cv from website yao? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums Click to expand... Careers ingia hapa utakuta sehemu ya ku-upload cv
C Comrade ZD Member Joined Jan 7, 2013 Posts 26 Reaction score 11 Jan 9, 2013 Thread starter #20 MAKOLE said: Careers ingia hapa utakuta sehemu ya ku-upload cv Click to expand... Nilishakusoma mkuu wa kazi muda mrefu. Na nimeshaishughulikia. Thanks. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
MAKOLE said: Careers ingia hapa utakuta sehemu ya ku-upload cv Click to expand... Nilishakusoma mkuu wa kazi muda mrefu. Na nimeshaishughulikia. Thanks. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums