CRDB wanarecruit lini?

CRDB wanarecruit lini?

Comrade ZD

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
26
Reaction score
11
Salaam wakuu!
Ningependa kujua mwenye kufahamu CRDB km wametangaza ajira hivi karibuni.
Regards!
 
Hapana hawajatangaza ajira, wakiwa na upungufu wa wafanya kazi wataajiri na kutangaza.
 
Thanx mkuu.
Lakini hawa watu huwa wanatangaza wapi nafasi zao za kazi? Maana sijawahi kukutana nazo tangu nizaliwe! Lol!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mkuu utasubili sana!ni bank chache sana zinazotangaza ajira zao!na cha ajabu kila cku unakuta wafanyakazi wapya!!hapo mi ndio huwa nachoka!!
 
Lol!
Sasa mkubwa White Wizard! Unanishauri vp hapo?
Nyenzo gani za kutumia ili kuwabaini hawa watu pindi wakihitaji watu wapya?
Samahani lakini.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kuwa mvumilivu kwanza waishe wahaya Alaf ndugu na marafik wa wafanya kaz then utaona wametangaza
 
Huwa WANAAJIRI KWANZA, ndipo wanajifanya kutangaza nafasi za kazi, tafuta mtaji, ajira Tanzania ni yatima asiye na msimamizi
 
Peleka CV yako kwa hr pale Azikiwe CRDB ghorofa ya nne.
Thanx mkuu.
Lakini hawa watu huwa wanatangaza wapi nafasi zao za kazi? Maana sijawahi kukutana nazo tangu nizaliwe! Lol!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Non of your business, haina umuhimu wa kujua mimi ni nani, mi nimetoa taarifa msaada kwa muanzisha thread kwa kile nilichokuwa na uhakika nacho,
Mbona povu linakutoka kaka mimi sinimekuuliza tu! isije ukawa ni cleaner hapa CRDB HQ
 
unaweza ku upload cv yao kwenye website yao. wao tayari wana watu ambao wameshaingiza cv zao kwao so hawahitaji kutangaza.

Mkuu!
Unaweza kunidirect mahala sahihi pa ku upload Cv from website yao?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwa taarifa nyepesi nyepesi wanarecruit mwezi huu so peleka CV yako mapema HQ azikiwe...usiulize nimezipata wapi nimetoa msaada kama mwana JF

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani we ni mchaga mbona unauliza nafasi za kazi crdb.
na pia una GPA ya Upper Second? wiki kadhaa nilimsikia boss flan hivi pale lumumba anamuuliza jamaaa GPA hiyo nilichoka...
 
Back
Top Bottom