kimaus
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 582
- 707
Nilienda kwenye tawi moja la Benki ya CRDB kwa ajili ya kupata mkopo kwa vile mi ni mtumishi na siwezi kusave mshahara ukafikia kiwango kikubwa cha kufanikisha jambo kubwa.
So Afisa anayehusika akaniambia kuwa wanatoa mikopo kwa riba ya asilimia 18! Nikafurahi kwa kuwa kiwango hiki ni reasonable. Nikataka kujua nikikopa Sh milioni 8 nitakatwa shilingi ngapi kwa mwezi kwa miaka mitatu, Afisa akaniambia ni Sh 289,000/=. Sasa nikamuuliza, 18% ya sh mil. 8 ni 1,440,000/= maana malipo yangu inabidi yawe 9,440,000/= sasa kwa makato ya Sh 289,000 kwa miezi 36 ni 10,404,000/=sasa mbona haifanani na asilimia 18 ya riba? Akaniambia hiyo 1,440,000/= ni riba ya mwaka mmoja, so kwa miaka mitatu inabidi uzidishe mara 3! Nikamwambia 1,440,000x3 ni Sh 4,320,000/= kwa hiyo deni langu litakuwa. Sh mil 8+riba Sh 4,320,000 ambayo ni Sh 12,320,000/= sasa hii mbona haifanani na makato ya Sh 289,000 kwa miezi 36? Je mnajiibia? Akakosa majibu.
My take: CRDB iseme ukweli mikopo yake ina riba kiasi gani isidanganye watu. Au mnaojua zaidi mnisaidie labda mimi ndiye nisiyeelewa!