Aisee kuna jamaa kamtolea maneno ya shombo balaa huyu meneja tawi fulani yaani watu wamekasirika sanaMimi mbak muda huu naonekana sio muaminifu kwasabau yao hivi inawezekana vipi benki kubwa kama hii kunakua na tatizo la mtandao mbaka sa saba hii na nusu hakuna walichorekebisha.hawana utofauti na vikoba
Mkuu unataman utoe mitusi yoooote.ila basi tu sijawai kuona ujinga wa namna hiiAisee kuna jamaa kamtolea maneno ya shombo balaa huyu meneja tawi fulani yaani watu wamekasirika sana
angali kule twita walichopost.hii inamaana awajali swala la wateja wao kukosa huduma tangu asubuiAisee kuna jamaa kamtolea maneno ya shombo balaa huyu meneja tawi fulani yaani watu wamekasirika sana
Lakini pia awajali kule twita badala yakuandika chochote kinachohusu hali ya leo, wao wanapost upuuzi waoIla nimefanya miamala saa moja kasoro asubuhi(kabla hawafungua ofis zao) hali ilikuwa shari.Nadhani walipoingia ofisini ndiyo wakaharibu network
Au watakuwa wameiba wanavuruga mambo kwanza.
Ila nimefanya miamala saa moja kasoro asubuhi(kabla hawafungua ofis zao) hali ilikuwa shari.Nadhani walipoingia ofisini ndiyo wakaharibu network
Tatizo ni halisi..Hivi hawa CRDB si ndiyo kama wiki moja hivi iliyopita watu walilalamika sana kwamba hela zilikuwa zikikatwa kwenye akaunti zao bila taarifa na baada ya malalamiko ya wateja pesa zikarudishwa? Kutakuwa na tatizo kubwa huko na wateja wake kuweni makini.