Kijana Mzeeeh
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 295
- 324
Hivi hawa Jamaa huwa wanafanya kusudi kung'ang'ania vihela hela vyetu kila inapofika weekend au?
Maana, kwa uzoefu wangu, kila weekend unakuta SimBanking haifanyi kazi na ata ATM vilevile.
Mfano nimehangaika kuhamishia kihela changu tiGO pesa ili nifanye yangu; nimejaribu bila mafanikio kuanzia saa 6 hadi 8 usiku, nikaona nirudi kulala tu.
Na sio mara ya kwanza hiyo. Kuna weekend tena niko maeneo na Mbebez, salio likakata mfukoni nikamwambia "ngoja nitoe hela kwa wakala nje hapo". Bado sijasahau ile AIBU.
Hii Bank iheshimu haki yetu ya kutoa vihela vyetu muda wowote ule tunapo-vihitaji, sikufungua Fixed deposit mimi.