Mbona umekuwa mwepesi wa kuconclude? Kuna mambo mengi yanachangia kuongezeka na kupungua kwa hisa. Hoja ya kwamba hisa zitaendelea kushuka sijui umeitoa wapi. Tunataraji demand na supply ya hisa zenyewe ndiyo iamua share prices zinaelekea wapi. Hiyo mara nyingi inasababishwa na information zilizopo kwenye market. Mf information kwamba bank inapitisha pesa chafu ilipaswa kabisa kuifanya performance ya benki iwe mbaya na hii ingekuwa reflected kwenye share price. Kwa nchi km yetu market si efficiency ila katika hali yoote jamaa wakijiondokea share prices zitakwenda chini zaidi. unless waondoke taratibu. Lingine ni future potential ya benki. Kwa CRDB hili si baya maana ndiyo inaonekana kuwa the leading bank in the country.
Jingine ambalo limesababisha kushuka kwa share ni vile NMB walivyofloat share zao, investors wakawa wanachoice nyingi na appertite pia ikabadilika.
Angalizo; Share price sio lazima ziongezeke zinaweza kupungua pia, rejea TOL na FTSE 100, utaona ni kiasi gani shares za kampuni ziliporomoka.
Ni point nzuri kuna issue ya institution investor km ulivyosema na mwishoni unakiri mchango wa uongozi wa DANIDA umeisaidia benki kufika hapo. Sasa km faida ya benki inategemea uongozi wa kundi linaloondoka unadhani institution ipi ipo tayari kupeleka pesa sehem ambapo ina my opinion hapako stable? Maana wataingia watu wengine ambao uzoefu wao haufahamiki kama DANIDA, in the end hata instituions zenyewe zitakuwa na uwezo wa kubargain share price na ndio hapo poromoko la bei linaanzia.
Ndeshingio wewe ni mchaga nini? mbona unajitambulisha hapa? any way karibu sana jisikie upo nyumbani.
wewe na danida mna rights tofautiGood Points.
One thing kwa uelewa wangu nafikiri once kampuni ikishaingia kwenye secondary market kama ambao CRDB imeingia shareholders wanatrade stock zao huko huko. Kama ambavyo mimi siwezi kwenda CRDB kusema narudisha my 100 shares nataka hela zangu, I would imagine neither can DANIDA. They would have to put them on offer through DSE kama everyone else and wait for a buyer. I may be wrong though, them being large shareholders and all. My thinking is if DANIDA and CRDB have a fallout and what the original posters says is allowed, who determines how much CRDB pays DANIDA to "buy back" its shares?
Mkuu nimefurahia hii post. Kwamba DANIDA si ordinary shareholders? Inamaana ni preferential au unataka kusema nini? Binafsi naamini DANIDA ni shareholders na ninaomba kufaham hii concept kwamba wao share zao zinakuwa fixed kwamba hazishuki. Mie nadhani km ni fixed then hao ni debt holders of which is not true kwa DANIDA. Kaka hii concept ya tier 1 nadhani umeenda mbali zaidi sijui umekokotoa kwenye basel ipi. Maana share wanazomiliki sidhani km zinaweza kuleta kimuhemuhe kwenye tier. Its good to share knowledge however implimentation of puling out shares remains a speculation.wewe na danida mna rights tofauti
wewe ni ordinary shareholder huna nguvu yeyote
danida wanamkataba tofauti na wewe na wanaweza waka pullout
crdb ikifilisika danida ni wa kwanza kulipwa alafu ndio wanafuatiwa watu wengine.
kwa kifupi danida ni instutional shareholder na mkataba wao ni tofauti. Danida wanaweza wakawa na mkataba ambao share zao hazishuki wao wanaenyjoy dividends tuu. je CRDB watoa wapi pesa za kuwarudishia kwa kipindi hichi ambacho performance ya share zao si nzuri? labda right issue ambayo itashusha share zao further...
kwa kifupi danida wakipullout CRDB watakuwa hawa meet min capital requirement (Tier 1 regulatory capital) na pia watakuwa na liqudity problem. BOT inabidi iingilie kati na iipe hela CRDB ASAP ili iweze kuishi.
ndugu yangu hizo figure za profit zisikutishe, mabanki makubwa yote duniani yalikuwa yanapata faida lakini mwaka jana yote yalikuwa bailed out kasoro HSBC. Barclays walienda middle east kuchukua hela.
usiombee danida ku pullot na sidhani kama wanaweza wakafanya hivyo, laazima watafanya slowly
Mkuu nimefurahia hii post. Kwamba DANIDA si ordinary shareholders? Inamaana ni preferential au unataka kusema nini? Binafsi naamini DANIDA ni shareholders na ninaomba kufaham hii concept kwamba wao share zao zinakuwa fixed kwamba hazishuki. Mie nadhani km ni fixed then hao ni debt holders of which is not true kwa DANIDA. Kaka hii concept ya tier 1 nadhani umeenda mbali zaidi sijui umekokotoa kwenye basel ipi. Maana share wanazomiliki sidhani km zinaweza kuleta kimuhemuhe kwenye tier. Its good to share knowledge however implimentation of puling out shares remains a speculation.
Asante saana kwa post hii. Ingawa bado haipo clear saana km ni shareholders au debt holders. Well mie naamini ni shareholders na ndio maana waliweza kuweka watu wao kuchangia katika kiuongozi. Na kama ni shareholders basi ni ordinary tu. Nadhani hii ipo pia Twiga Cement. Ukipata muda ukapitia statements zao za miaka 5 au zaidi utachoka zaidi. Pulling out kwa DANIDA nadhani na hili ni pigo ingawa watu wanadai Watanzania wana skills za kutosha lkn watanzania mara nyingi huongozwa na siasa kuliko utaalam.wakati danida wanaingia CRDB ilikuwa haiko listed. danida waliingia pale kama kuipa msaada serikali na kumiliki 30%. waliingia pale kutumia danida investment fund kama sikosei mid 1990's.wali invest $3m sijui ni kama kiasi gani kwa wakati huu ...
mpaka sasa hivi wameuza 5% of the shares to the public mwaka jana.
wamebakiza 25%, ni ukweli kwamba danida wata pull out, na wata pull out taratibu kama mkataba wao na crdb na serikali unavyosema. hela zitakazopatikana zitatumika kufadhili miradi mingine ya serikali.
kwa hiyo hii pull out sio speculation au malicious na wala haiusiani chochote na epa, ni part of their plan.
kuhusiana na share zao nimesema labda na sio certain kama share zao hazishuki, sina uhakika nacho kwa ajili sijui kilicho kwenye agreements between the parties.
bnhai wanamiliki 25%. by any standards ni kubwa. hii ni kwenye basel 1 lakini hata ii.
by the way basel ii wanataka kuingoza iwe more than 8%.
anyway thanks kwa mchango wako
Asante saana kwa post hii. Ingawa bado haipo clear saana km ni shareholders au debt holders. Well mie naamini ni shareholders na ndio maana waliweza kuweka watu wao kuchangia katika kiuongozi. Na kama ni shareholders basi ni ordinary tu. Nadhani hii ipo pia Twiga Cement. Ukipata muda ukapitia statements zao za miaka 5 au zaidi utachoka zaidi. Pulling out kwa DANIDA nadhani na hili ni pigo ingawa watu wanadai Watanzania wana skills za kutosha lkn watanzania mara nyingi huongozwa na siasa kuliko utaalam.
Kuhusu basel ii nadhani ni extention ya basel i though hii naiona kama imeonyesha failure kabla ya kuanza. Maana basel ii inatoa muongozo wa kuwepo kwa internal model za kumonitor risks na regulators wakiwa wanapita mara kwa mara kuangalia compliance. Nasema imefel kwa sababu kuna regulations juu ya regulations, baada ya mtikisiko kila siku sheria mpya zinakuja kubana watu kuchukua risks.
nakubaliana na wewe kabisa
watu hawaelewi, hamna kitu muhimu kama institutional investor kwenye kampuni uliyowekeza. shareholder mdogo huwezi ku police mabosi wanafanya nini sasa zote, huna hizo resource zote zote. licha ya kupolice danida pia wana watu wenye skills toafauti.
kuondoka kwa danida ni pigo kwa crdb shareholders kwa ajili mabosi watakuwa wanafanya watakavyo. tusubirie mishahara na bonus za ajabu
Mkuu Semilong, naona umesema haswa the bottom line.
Tumekuwa na benki zetu nyingi, na maarufu kati ya hizo ni NBC iliyoundwa kutokana na kutaifishwa mabenki kadhaa.
Kilichotokea NBC wote tunakielewa, benki iliendeshwa kisiasa kukidhi matakwa ya watawala na si vinginevyo.
Mpaka benki hii inauzwa ilikwisha jilimbikizia madeni lukuki.
CRDB nayo ilianzia mbali, ni vema tukakubali ukweli kuwa DANIDA kwa kuwekeza pale wliinyanyua sana CRDB.
Mimi sioni kama matatizo yaliyojitokeza(lack of integrity) yatatafutiwa ufumbuzi ili matatizo zaidi yasijejilimbikiza na hatimaye biashara ya CRDB kufifia.