Teleshkova
Member
- Feb 14, 2017
- 76
- 136
hahahaha, kweli jamaa ni mbunifu sana. Heko zake, hapo atalamba wengi sana.Hapo ndipo naamini kuwa Kweli Dr Kimei .MBUNIFU SANA.
Mkuu...hakuna haja ya kusubmit salary sleep kwa badae?Crdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking.
Kiwango cha chini cha mkopo ni Tzs 50,000 na kiwango cha juu ni tzs 1,000,000.
Ili kuomba mkopo ingia simbanking...kisha chagua namba 6. Inachukua dakika tatu kupokea mkopo wako. Fedha inaingizwa kwenye account yako ya mshahara.
Mkopo utalipwa kutoka kwenye mshahara wako unaofuata.
Riba ya mkopo ni asilimia 5. Mfano kwa mkopo tzs 100,000 riba yake ni tzs 5,000 tu.
Riba inatozwa upfront.
Jaribu namna mpya ya kusukuma mwezi!
Hebu fafanua kidogoNahapa sasa wasio na adabu kwenye matumizi ya pesa maisha ndo yatakuwa magumu zaidi!
How Mkuu?rubbish
Mkuu, naongelea wanaopenda sana kukopa kopa pesa tena bila kuwa hata na matumizi ya lazima. Kwao, kurahisishiwa kukopa itakuwa ni hatari.Hebu fafanua kidogo
How Mkuu?
Nimekusoma vema sanaa....Mkuu, naongelea wanaopenda sana kukopa kopa pesa tena bila kuwa hata na matumizi ya lazima. Kwao, kurahisishiwa kukopa itakuwa ni hatari.