Vitu vingine kuuliza ni kuleta kichefuchefu tu.Je wakuu hiki kitu tayari kinshaanza kutumika? Xmass tuvute mkwanja
Mpendwa mteja, SimBanking Salary Advance ni mkopo kwa waajiriwa wanaopokea mshahara kupitia Benki ya CRDB na wamejiunga na huduma ya SimBanking. Kupata mkopo huu piga *150*03# kisha chagua namba 6 "Salary Advance"
Kutoka benki
nawasilisha
La msingi hili maana hawa wezi vitu vingine hawasemi hadi baada ya kukopa ndo unakitana na makato yake.Vipi hakuna Riba?
Hayo maelekezo nayapata kwa njia ya simu au hadi niende branch husika Mkuu,kamwendo RIBA IPO KULINGANA NA KIASI ULICHOCHUKUA, KASOME MAELEKEZO, HAKUNA BENK INAYOTOA MKOPO BILA RIBA
Unapata hadi asilimia 50% ya net pay yako....malipo ni ndan ya mwez mmoja. Riba asilimia 5.Hayo maelekezo nayapata kwa njia ya simu au hadi niende branch husika Mkuu,
Nilitaka kujua,Maximum ya mkopo? Muda wa Marejesho, Interest Rate N.k
So hadi niwaone Customers Care ama?