CRDB query help please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CRDB query help please

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mbongopopo, Mar 5, 2012.

 1. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hi

  naomba mwenye copy ya fomu CUSTOMER UPDATE FORM - INDIVIDUAL YA CRDB

  ambayo deadline mwezi huu a upload copy humu please

  hii ya CRDB ya ku update details. kwenye copy naomba aharushe humu nina jamaa na friends wanahitaji.

  Pia wawili walisubmit documents zinazohitajika 2 years ago je ni lazima wasubmit tena this year? I mean ni kwa wateja wote kujaza au wengine hawatakiwi?

  Shukurani

  ....wapo mbali na benki
   
 2. m

  mwalwisi Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ingia hapa utazipata zote bila shida mkuu Download Forms
   
 3. M

  Mwana Vyombo Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nakushauri uende kuchukua hizo form kwenye matawi ya CRDB au cheki kwenye website yao, mimi nilidownload www.crdbbank.com hizo form zinapatikana kwenye resource center, nadhani wateja wote wanatakiwa kurekebisha information zao kufuatana na agizo la benki kuu linalotolewa kwenye magezeti
   
Loading...