CRDB my Bank.

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Good day everyone....
I stand here to express my heartfelt feeling of love and appreciation to you...the time I had been with you during my field attachment,had left me with very remarkable memories, that I miss you very much and can't help when I remember how I enjoyed my field attachment in one of your branches in Arusha.
I am proud of you and it has been my dream to share my talents and skills with your team in realizing your mission and vision.
Keep your values as you have been doing...keep listening to your customers as you have been doing.
I can bet you would like to write back as it has been long since then.
I feel I have more to give you now than then.
Please, keep paving the way...show others the way.
I have so much more to share with you,so let us keep a closer touch.
Best regards,
mfangaibrahim@gmail.com
 
Kuna post ya pasco humu ikisifia 'maua' ya crdb...nawapa pongezi pia ..wanajitahidi kwa huduma ...pale mlimani palee maulizo huwa naendaga kuuliza tu balance na kutoka....usiniulize kwa nini.....
 
Kuna post ya pasco humu ikisifia 'maua' ya crdb...nawapa pongezi pia ..wanajitahidi kwa huduma ...pale mlimani palee maulizo huwa naendaga kuuliza tu balance na kutoka....usiniulize kwa nini.....

Hahahaaaa...mkuu changamoto
ndogo ndogo lazima ziwepo tu...
Hawa jamaa wanajitahidi sana....
 
Hahahaaaa...mkuu changamoto
ndogo ndogo lazima ziwepo tu...
Hawa jamaa wanajitahidi sana....
U
Mkuu soma kwa sauti... pale huwa naenda mara tatu kwa siku kuuliza tu salio...naweka hela natoka nje kwenye atm kuzitoa......wewe pita pale kesho utajua kwa nini
 
Kuna post ya pasco humu ikisifia 'maua' ya crdb...nawapa pongezi pia ..wanajitahidi kwa huduma ...pale mlimani palee maulizo huwa naendaga kuuliza tu balance na kutoka....usiniulize kwa nini.....

kuna warembo sana pale ila wana wenyewe waliowapatia hiyo ajira,pole hahahah
 
Katika Bank yenye vilaza ni hiyo CRDB ya mlimani city ndo inaongoza... Kwa Ufupi CRDB kawaida tu, wewe mwenye hii thread unatoa shukrani kwa kupata field siku nyingine waandikie personal email ma MD na watumie card hao Staff vilaza.
CRDB Huduma zao kawaida tu
 

Panapostahili pongezi...tuzitoe tu...
 
yes! in fact crdb pleases me whenever i come in touch with them for service. keep it up. well done
 
Kuna post ya pasco humu ikisifia 'maua' ya crdb...nawapa pongezi pia ..wanajitahidi kwa huduma ...pale mlimani palee maulizo huwa naendaga kuuliza tu balance na kutoka....usiniulize kwa nini.....

Kwanini?
 

says who!?
 

Katika siku niliyoona wale jamaa wa crdb wengine mburulaz kuna jamaa mmoja alikuwa na swali linamkereketa sana kuhusu kirefu cha PLC kama ilivyo bank yao ni among them, jamaa kwenda pale maulizo anamuuliza mshikaji kirefu cha Plc honestly jamaa kakiri hajui ye kaajiriwa tu... Damn!!!" hii ndio bongo
 
Washenzi Kweli,My card expired nikawapelekea kwa ajili ya kubadilisha,Wakanambia nisubiri baada ya wiki moja na nusu watanitumia ujumbe nikaona kimya,
Nikawafata Kuulizia Kama ipo tayari majibu yao yakawa hivi:Hatutoi Master Cards,Nisubiri Mpaka Wiki moja na nusu tena,Ki-Ukweli Wamenikwaza Sanaaaaa,
Ukizingatia Kupanga Foleni Kunavyokera,
CUSTOMER CARE QUALITY CENTRE BRANCH YOU SHOULD ACT PROFESSIONAL SIO KULETA SIASA
 
Benki ya CRDB ni Benki inayoongoza hapa nchini kwa ubunifu wa huduma na bidhaa bora sokoni. Pia benki ya CRDB inatambulika kama kinara wa uanzishaji wa huduma na bidhaa mpya sokoni ambazo hukidhi matakwa ya mteja.

Katika kudhihirisha hilo, sambamba na kuzingatia uhitaji mkubwa wa makazi bora hapa nchini, Benki ya CRDB sasa imeleta bidhaa mpya sokoni ijulikanayo kwa jila la Jijenge. Jijenge ni mkopo wa nyumba ambao unakuwezesha wewe mteja wa Benki kumiliki nyumba ya ndoto yako kwa kununua, kujenga au kuboresha nyumba ya zamani. Mkopo huu ni sawa na kuwa kwenye nyumba ya kupanga huku ukiinuunua taratibu kila ufanyapo marejesho ya kila mwezi. Huu ni mkopo wa muda mrefu wenye kipindi cha marejesho cha hadi miaka 20 ambao dhamana yake ni nyumba hiyo hiyo ijegwayo , nunuliwa au kukarabatiwa.

Kupitia mkopo wa Jijenge, wewe mteja wetu unaweza kupata hadi shilingi milioni 500 na kurejesha kidogo kidogo kila mwezi au kwa agizo maalumu kwa Benki (standing order) au kwa mkupuo na tena kwa riba nafuu ambayo ni chini ya riba ya soko. Kwa kuwa mkopo huo ni wa kutosheleza, unakupa fursa wewe mteja kuweza kumiliki nyumba ya ndoto yako katika kipindi kfupii pasipo kusubiri kuweka akiba yako kwa muda mrefu.

Mkopo huu hutolewa kwa watanzania walioajiriwa na waliojiajiri ndani na nje ya nchi (kwa walio nje ya nchi wanapaswa kuwa na akaunti ya Tanzanite kutoka Benki ya CRDB ) na wenye umri kati ya miaka 21 hadi 60. Sambamba na hilo mkopo huu una bima ya mkopo (credit insurance) kwa mteja kama atapatwa na kifo au ulemavu wa kudumu ambao utamfanya ashindwe kuendelea na shughuli za kumpatia kipato na pia nyumba ijengwayo, inunuliwayo au kukarabatiwa huwekewa bima (property insurance) endapo itakumbwa na majanga kama vile moto na mengineyo.

Kwa maelekezo zaidi kuhusu Jijenge, au huduma/bidhdha yoyote ya Benki au ushauri tafadhari wasiliana nasi kupitia:

Simu:+255(22)2 19 77 00, 0714 19 77 00, 0755 19 77 00, 0789 197700,

Barua pepe: customer-hotline@crdbbank.com, Facebook: http://www.facebook.com/crdbbank pia angalia tovuti yetu kupitia CRDB Bank PLC

Wako, Benki ya CRDB
 

Swali la kujiuliza kuna warembo wangapi wenye akili? CRDB inaweka watoto vilaza kabisa hamna kitu jina tu na shida za wa tz znawaweka pale
 

Mi pia nilienda nikaambiwa kua mtambo wa kutengeneza master card umeharibika,at least waliniambia ukweli. Hata form ya kujaza sikujaza.Pole
 
Mi pia nilienda nikaambiwa kua mtambo wa kutengeneza master card umeharibika,at least waliniambia ukweli. Hata form ya kujaza sikujaza.Pole

Cha kushangaza namba ya simu ilikuwa kwenye form,Walishindwa nini kunipigia??
Bora Ulikutana Na Anayejielewa na kuthamini mteja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…