NRNEMimi ni mtumiaji wa Bank ya crdb kwa zaidi ya kipindi Cha miaka kumi na nne sasa.Lakini kwa mwenendo huu wa crdb bank hakika si bank rafiki tena kwa wateja.Kwanza kila ukifika katika AMT zao unakuta wateja wamejazana na wote wanalalamikia huduma mbaya za kibank ndani ya bank yenyewe na hata pia huku nje katika mashine zao za kutolea pesa(ATM).Kila mara wao wimbo ni mmoja tu.....mtandao uko chini ndio mana utowaji wa pesa katika ATM uko slow au haufanyiki.Lakini ukienda ndani ya bank ukitaka kutoa kupitia App yao ya Mobile banking(nadhani wale wanao tumia hii huduma wanajua kwa sasa hii bank wamevumbua utaratibu kwamba Unaweza withdrawal) pale dirishaji kwa kwa teller kwa kupitia hiyo app yao) basi unakuta huduma inapatikana vizuri tu tena una toa fedha faster kupitia kwa teller wao pale dirishani.Sasa wao wanadhani sisi wateja hatujui janja yao lakini watu wamesha washtukia....nikwamba ....ikiwa mteja ata toa pesa kupitia ATM hata Laki Moja na nusu(150,000)au zaidi kidogo unakatwa 1800tsh tu.Lakini ukienda kutoa huko ndani laki Moja(100,000) tu unakatwa 5400tsh.Na ndio mana Kila mara wanasababidha utowaji wa pesa kupitia ATM uwe mzito Ili mteja akatoe kupitia hizo njia nyingine ambazo ni gharama kubwa na ni faida kubwa kwao.Pia bila aibu wateja tukilalamika kuhusu huduma za ATM kusuasua wao wanaku-direct kwenda huko mitaani kwani wakala wao wapo.Kitu ambacho pia kutoa kupitia hao ni gharama pia.Hili jambo si la kufumbiwa macho na serikali.Ni wizi wa makusudi.Crdb imekuwa bank ya kulalamikiwa kuliko kiasi kwa sasa.Jamani.mukitaka kujua makato ya kila kitu yakoje huko mnapokatwa jiungeni na Crdb mobile kisha ombeni ripoti ya mwezi mutumiwe kupitia e-mail zenu ntaona kila kitu.Hii bank ina mambo ya ajabu sana.Kwa wale wa mishahara ya kwanzia milioni Moja kushuka chini kwakweli hii bank kwa wizi huu si rafiki tena.Na ndio mana Nmb bank imeshika hatam ghafla sana kutokana na wizi na kero za Crdb zisizo mithilika.Bank ya kiwizi sana hii.
Naskia eti ni bank ya wachaga 😁Kimsingi makato ya CRDB sijawahi kuyaelewa na ndio sababu ya kuihama hiyo bank ukiangalia hata salio kupitia app yao wao wanakata ni tofauti na bank nyingine mfano NMB, Hivyo hivyo ukiangalia hata min-statment wao wanakata tofauti na bank nyingine mfano NMB,NBC.
Kiufupi CRDB ni njaa sana alafu wanavisheria vyao vya ajabu sana.
😂 hiyo bank wanaijua pesa kulikoNaskia eti ni bank ya wachaga 😁
Wamekuwa wezi Sana, mshahara ukiingia tu,wanazuia hu wezi kuhamisha kwenda mitandao ya simu kwa sim banking kutumia app yao, Ila ukienda kutoa kwa wakala, app in a fan ya kazi! Bongo tunapigwa Sana,Mimi ni mtumiaji wa Bank ya crdb kwa zaidi ya kipindi Cha miaka kumi na nne sasa.Lakini kwa mwenendo huu wa crdb bank hakika si bank rafiki tena kwa wateja.
Kwanza kila ukifika katika AMT zao unakuta wateja wamejazana na wote wanalalamikia huduma mbaya za kibank ndani ya bank yenyewe na hata pia huku nje katika mashine zao za kutolea pesa(ATM). Kila mara wao wimbo ni mmoja tu.....mtandao uko chini ndio mana utowaji wa pesa katika ATM uko slow au haufanyiki.
Lakini ukienda ndani ya bank ukitaka kutoa kupitia App yao ya Mobile banking(nadhani wale wanao tumia hii huduma wanajua kwa sasa hii bank wamevumbua utaratibu kwamba Unaweza withdrawal) pale dirishaji kwa kwa teller kwa kupitia hiyo app yao) basi unakuta huduma inapatikana vizuri tu tena una toa fedha faster kupitia kwa teller wao pale dirishani.Sasa wao wanadhani sisi wateja hatujui janja yao lakini watu wamesha washtukia....
Nikwamba ....ikiwa mteja ata toa pesa kupitia ATM hata Laki Moja na nusu(150,000)au zaidi kidogo unakatwa 1800tsh tu.Lakini ukienda kutoa huko ndani laki Moja(100,000) tu unakatwa 5400tsh.Na ndio mana Kila mara wanasababidha utowaji wa pesa kupitia ATM uwe mzito Ili mteja akatoe kupitia hizo njia nyingine ambazo ni gharama kubwa na ni faida kubwa kwao.
Pia bila aibu wateja tukilalamika kuhusu huduma za ATM kusuasua wao wanaku-direct kwenda huko mitaani kwani wakala wao wapo. Kitu ambacho pia kutoa kupitia hao ni gharama pia.Hili jambo si la kufumbiwa macho na serikali.
Ni wizi wa makusudi.Crdb imekuwa bank ya kulalamikiwa kuliko kiasi kwa sasa.Jamani.mukitaka kujua makato ya kila kitu yakoje huko mnapokatwa jiungeni na Crdb mobile kisha ombeni ripoti ya mwezi mutumiwe kupitia e-mail zenu ntaona kila kitu.
Hii bank ina mambo ya ajabu sana.Kwa wale wa mishahara ya kwanzia milioni Moja kushuka chini kwakweli hii bank kwa wizi huu si rafiki tena. Na ndio mana Nmb bank imeshika hatam ghafla sana kutokana na kero za Crdb zisizo mithilika.
Kuwa mzalendo!Pole sana,labda tujaribu Acces bank
Sahihi kabisa.Yani baada ya Mzee Kimei kuondoka matatizo yakaanza.CRDB aliiweza Kimei pekeyake.. Kwakuwa ndio aliifufua wayback 1994 nadhani akaikuza akaijenga vema.. Pen fine succession plan yake haikuwa nzuri
ACCESS BANK SASA NI SELCOM JE HUKO KUNA UNAFUU??? me nimependa APP yao ya Selcom pesa, namna ilivyokisasa na jinsi unavyoweza jisajili papo hapo kwa fingerprint na NIDA na taarifa zako zinakuja chapPole sana,labda tujaribu Acces bank