technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,635
- 58,276
Nadhani walitoa tangazo kuwa watakuwa na marekebishoMnadangana huduma zitapatikana mchana na usiku Mtafanya maboresho.
Lakini ukweli ni kwamba mmezengua pesa hazipatikani kwenye ATM huduma mchana hakuna.
Yaani kiufupi shughuli zote zimesimama kwa sababu ya uongo wenu.
Mlitakiwa kuwaambia watu ukweli waweke akiba ndani.
Mnapotoa tangazo na ualisia field uwe vile vile.
Nasikitika mtaani huduma zote za crdb hazipatikani.
Jana walimaliza mikato yao na wakatutumia ujumbe, wacha nijikoki kwenda town na nilivyokua na kiu..... kufika natia kadi hola, nikarudia ikamezwa kabisa...🤨Nadhani walitoa tangazo kuwa watakuwa na marekebisho
Toa cash mapema au kama una account bank zingine use those, else utaumiaJana walimaliza mikato yao na wakatutumia ujumbe, wacha nijikoki kwenda town na nilivyokua na kiu..... kufika natia kadi hola, nikarudia ikamezwa kabisa...🤨
🤣🤣🤣🤣😂😂Wamesababisha leo siku ya pili sijanywa bia wapuuzi hawa...🤨
Kwa kweli CRDB wamechemsha sana .Mnadanganya huduma zitapatikana mchana na usiku Mtafanya maboresho.
Lakini ukweli ni kwamba mmezengua pesa hazipatikani kwenye ATM huduma mchana hakuna.
Yaani kiufupi shughuli zote zimesimama kwa sababu ya uongo wenu.
Mlitakiwa kuwaambia watu ukweli waweke akiba ndani.
Mnapotoa tangazo na ualisia field uwe vile vile.
Nasikitika mtaani huduma zote za CRDB hazipatikani.
Sasa hivi account za baadhi ya watu zinasoma zero...taharuki....! Na majibu hayapatikani. Bado sijaamini kama hii benk imekuwa "Desi" in a disguise!Walitangaza siku 3 Ila haikupata coverage sana !