CRDB LUMUMBA BRANCH HUDUMA YA MIKOPO HUDUMA MBOVU

Mbavu mbili

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
1,456
872
Wadau hakuna Branch inayoongoza kwa kusumbua wateja DSM kama branch ya Lumumba mkabala na stendi ya mnazi mmoja.
Huduma ya mikopo wamekuwa wasumbufu mno, kiasi cha kukatisha tamaa. Wanajinadi kutoa Huduma hiyo ndani ya wiki moja, lakini cha ajabu waweza pigwa danadana mpaka wiki 3-4.
Kitengo cha Huduma kwa wateja idara ya mikopo haina ushirikiano kabisa na wateja,
Inakera sana. Tatizo nini hasa?
Au ndio kutengenezeana mazingira?

Matawi kama waterfront wako faster sana, ndani ya wiki tu ushamalizana nao.
 
Back
Top Bottom