CRDB kutoa Gawio la Kihistiria Bilioni 118

Ukisikia kufungua Nchi ndio huku Sasa na Kwa haya yanayotokea Rais Samia Anastahili Tuzo ya Uchumi.. Dr. Samia ni akili. kubwa wengine wamekaririshwa Makaratasi 😁😁.

Benki ya CRDB imesema itatoa gawio la Kihistoria Kwa wanahisa wake takribani Bilioni 118 baada ya kuvuna faida kubwa..

Ikumbukwe hiki ndicho kiasi kikubwa zaidi kuwahi kutolewa na Benki hiyo Kwa wanahisa wake ikiwemo Serikali..

Samia ndiye general manager wa crdb?
 
Wamewanyonya mno wavuja jasho na waponda nyundo. Wamewakamua mno wafanyakazi na wafanya biashara.
Nashauri wafanye na sherehe mwakani waongeze juhudi
 
Ukisikia kufungua Nchi ndio huku Sasa na Kwa haya yanayotokea Rais Samia Anastahili Tuzo ya Uchumi.. Dr. Samia ni akili. kubwa wengine wamekaririshwa Makaratasi 😁😁.

Benki ya CRDB imesema itatoa gawio la Kihistoria Kwa wanahisa wake takribani Bilioni 118 baada ya kuvuna faida kubwa..

Ikumbukwe hiki ndicho kiasi kikubwa zaidi kuwahi kutolewa na Benki hiyo Kwa wanahisa wake ikiwemo Serikali..

mwaka jana gawio ilikuwa kiasi gani vile kwa sababu hata kama ikizidi kwa shs 1000 bado itakuwa historical au vipi
 
Hicho ni kisebengo kwa kapuku kama wewe kushadadia mambo ya wenyewe
Wivu,unataka nishadidie mambo Yako? Tajiri akisimama ni nafuu Kwa kapuku sio nyumbu mwenye kijiba Cha roho kama wewe unaumia kuona Samia anafanya vizuri 😁😁

Bado utateseka sana
 
Back
Top Bottom