CRDB kufanya mkutano mkuu Arusha, kuanza na elimu ya uwekezaji kwa wana hisa wake

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,681
119,317
Watanzania wanao tumia mabenki kuweka fedha zao za akiba, wamehimizwa, wasiishie kwenye kuweka akiba tuu, bali watumie sehemu ya akiba kwa kuziwekeza kwenye hisa hivyo kupata fedha nyingi zaidi, kuliko kujiwekea akiba pekee.

Wito huo, umetolewa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Tawi la Vijana, Peres Fungo, na Mkurugenzi wa CRDB Tawi la Lumumba, Pendo Assey, Mkurugenzi wa CRDB Tawi la Kijitonyama, Lucas Msigazi na Meneja wa CRDB Tawi la Kibaha, Rosemary Nchimbi, wakati wa semina ya uhamasishaji uwekezaji, kwa wanahisa wa benki ya CRDB, kama sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB utakaofanyika mjini Arusha, mwezi ujao.

Paskali
 
Back
Top Bottom