CRDB kinara Afrika Mashariki

Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,315
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,315 2,000
CRDB kinara Afrika Mashariki

Source:http://mtanzania.co.tz/crdb-kinara-afrika-mashariki/

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam

Benki ya CRDB imetajwa kuwa benki ya kwanza kwa ukubwa hapa nchini na ya tatu kwa ukubwa Afrika Mashariki kwa kukua na kuwa na mafanikio mengi.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Aprili 12, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela amesema mafanikio ya benki hiyo kwa mwaka uliopita ni mengi ikiwamo kukua kwa faida kwa asilimia 78.

“Mafanikio mengine benki yetu iliyopata ni kukua kwa utoaji mikopo kwa asilimia 8 na tumefanikiwa kuwakopesha Watanzania hadi Sh trilioni 3.1,”amesema Nsekela.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
344
Points
500
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
344 500

Hizo ni porojo tu Kama za kina haji manara.
Mimi nilijua labda wametajwa na world bank.
Kumbe wamejitaja wenyewe tu.
Sasa kwa hali hiyo kila bank watajitaja kwamba hao ndio namba moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu mimi. nasikitika kukujulisha kuwa pengine nadhani huwa nawaza kinyume na watu wengi ambavyo huwa wanawaza (utanisamehe kiswahili changu siyo kizuri sana, lugha ya mama huwa imenitawala sana). Ni kwamba mimi akiongea Meneja wa Benki ya CRBD, au mtanzania mwingine yeyote yule mtaalamu, au Magufuli, ndiyo naamini 100%, ila akiongea mtu mwingine wa nje ya Nchi yetu tofauti na wa-Tanzania wenyewe, imani yangu kwa kilichosemwa inakuwa labda 50% au chini ya hapo. Watu tunatofautiana sana katika kupokea na kuchuja taarifa
 
Sasa unafikiri meneja wa crdb atakubali benki yake ionekane dhaifu mbele ya macho ya watu.
Ni lazima ataisifia ili kuipromote hata Kama inakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,764
Points
2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,764 2,000
CRDB kinara Afrika Mashariki

Source:http://mtanzania.co.tz/crdb-kinara-afrika-mashariki/

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam

Benki ya CRDB imetajwa kuwa benki ya kwanza kwa ukubwa hapa nchini na ya tatu kwa ukubwa Afrika Mashariki kwa kukua na kuwa na mafanikio mengi.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Aprili 12, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela amesema mafanikio ya benki hiyo kwa mwaka uliopita ni mengi ikiwamo kukua kwa faida kwa asilimia 78.

“Mafanikio mengine benki yetu iliyopata ni kukua kwa utoaji mikopo kwa asilimia 8 na tumefanikiwa kuwakopesha Watanzania hadi Sh trilioni 3.1,”amesema Nsekela.
Hapo hakuna faida bali wizi kupitia makato makubwa ya miamala.
Pia hamkopeshi wafanyabiashara wadogo hivyo hamna msaada kwetu
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,764
Points
2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,764 2,000
CRDB kinara Afrika Mashariki

Source:http://mtanzania.co.tz/crdb-kinara-afrika-mashariki/

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam

Benki ya CRDB imetajwa kuwa benki ya kwanza kwa ukubwa hapa nchini na ya tatu kwa ukubwa Afrika Mashariki kwa kukua na kuwa na mafanikio mengi.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Aprili 12, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela amesema mafanikio ya benki hiyo kwa mwaka uliopita ni mengi ikiwamo kukua kwa faida kwa asilimia 78.

“Mafanikio mengine benki yetu iliyopata ni kukua kwa utoaji mikopo kwa asilimia 8 na tumefanikiwa kuwakopesha Watanzania hadi Sh trilioni 3.1,”amesema Nsekela.
Non Perfoming Loans ni nyingi halafu mnasema mna pata faida huo ni uongo wa mchana na sasa mmeshaanza siasa
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,315
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,315 2,000
Sasa unafikiri meneja wa crdb atakubali benki yake ionekane dhaifu mbele ya macho ya watu.
Ni lazima ataisifia ili kuipromote hata Kama inakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Benki ni dhaifu maana yake ni kwamba huyu mtu atakaa kimya, hatasema chochote. Kwani Benki Tanzania tunayo CRDB tu? Mbona tuna mabenki mengi tu? Mbona mengine hayajajitaja kujipa sifa hii, au inayofanana na hii? Huyu mtu mpaka aje aibuke na kuanza kutudanganya kujipa sifa ambazo hana, mbona huko nyuma hakuwahi kusema haya? Wa-Tanzania tuko negative sana, ambalo ni tatizo kubwa muno. Ni bora mtu anayemwamini shetani kuliko mtu ambaye yuko negative. Anayemwamini shetani kuna siku anaweza akaja akapata nafasi ya kugundua kuwa shetani ni mwongo na kuamua kuhamia kwa Mungu kuliko yule ambaye yuko negative. Ukiwa negative utaendelea kuwa negative tu maisha yako yote mpaka siku unakwenfda kaburini!
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
344
Points
500
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
344 500
Kama Benki ni dhaifu maana yake ni kwamba huyu mtu atakaa kimya, hatasema chochote. Kwani Benki Tanzania tunayo CRDB tu? Mbona tuna mabenki mengi tu? Mbona mengine hayajajitaja kujipa sifa hii, au inayofanana na hii? Huyu mtu mpaka aje aibuke na kuanza kutudanganya kujipa sifa ambazo hana, mbona huko nyuma hakuwahi kusema haya? Wa-Tanzania tuko negative sana, ambalo ni tatizo kubwa muno. Ni bora mtu anayemwamini shetani kuliko mtu ambaye yuko negative. Anayemwamini shetani kuna siku anaweza akaja akapata nafasi ya kugundua kuwa shetani ni mwongo na kuamua kuhamia kwa Mungu kuliko yule ambaye yuko negative. Ukiwa negative utaendelea kuwa negative tu maisha yako yote mpaka siku unakwenfda kaburini!
Wewe unaongea kitu usichokijua.
Hiyo ni marketing strategy tu.
Kwenye masuala ya marketing hutakiwi kukaa kimya kwa muda mrefu ili watu wasije kuisahau product yako.
Na ndio maana ukiangalia kwenye profile za kampuni nyingi utakuta Kuna msemo ambao unatumika sana Kama,"Is the leading company in Tanzania."
Sasa sio kweli kwamba kila kampuni inaongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,315
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,315 2,000
Wewe unaongea kitu usichokijua.
Hiyo ni marketing strategy tu.
Kwenye masuala ya marketing hutakiwi kukaa kimya kwa muda mrefu ili watu wasije kuisahau product yako.
Na ndio maana ukiangalia kwenye profile za kampuni nyingi utakuta Kuna msemo ambao unatumika sana Kama,"Is the leading company in Tanzania."
Sasa sio kweli kwamba kila kampuni inaongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
Marketing Strategy ya aina hiyo unayoongelea wewe huwa kawaida inakuwa incorporated kwenye "Motto". Kwa mfano maneno haya uliyotolea mfano "Is the leading company in Tanzania.", yanatakiwa kuwa Motto wa Kampuni kwenye logo yao au kwenye matangazo ya biashara redioni, na si kama Habari maalumu kwenye Gazeti, kam ilivyotoka hii ya CRDB
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
344
Points
500
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
344 500
Marketing Strategy ya aina hiyo unayoongelea wewe huwa kawaida inakuwa incorporated kwenye "Motto". Kwa mfano maneno haya uliyotolea mfano "Is the leading company in Tanzania.", yanatakiwa kuwa Motto wa Kampuni kwenye logo yao au kwenye matangazo ya biashara redioni, na si kama Habari maalumu kwenye Gazeti, kam ilivyotoka hii ya CRDB
Kwani kwenye gazeti Kuna uzito gani.
Hata ww ukiamua unaweza kutolewa kwenye gazeti.
Tena afadhali redioni au kwenye tv kuliko magazeti unayoyaamini wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,315
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,315 2,000
Kwani kwenye gazeti Kuna uzito gani.
Hata ww ukiamua unaweza kutolewa kwenye gazeti.
Tena afadhali redioni au kwenye tv kuliko magazeti unayoyaamini wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichokuwa ninaongelea siyo uzito, bali ni aina ya utoaji wa taarifa kwenye gazeti. Kwa mfano, huwezi ukatoa classified ads information kama news ya kawaida kwenye gazeti, itakuwa haina mashiko. Tuseme una yard ya kuuza magari halafu unaenda kwenye gazeti unawaambia wachapishe taarifa ya tangazo la yard yako kama Makala kwenye gazeti badala ya kuiweka kama classified ad. Nilikuwa naongelea aina ya mfumo uliotumika kutoa taarifa hiyo na si kwamba kutoa taarifa kwenye gazeti ina uzito zaidi, hapana.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
344
Points
500
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
344 500
Nilichokuwa ninaongelea siyo uzito, bali ni aina ya utoaji wa taarifa kwenye gazeti. Kwa mfano, huwezi ukatoa classified ads information kama news ya kawaida kwenye gazeti, itakuwa haina mashiko. Tuseme una yard ya kuuza magari halafu unaenda kwenye gazeti unawaambia wachapishe taarifa ya tangazo la yard yako kama Makala kwenye gazeti badala ya kuiweka kama classified ad. Nilikuwa naongelea aina ya mfumo uliotumika kutoa taarifa hiyo na si kwamba kutoa taarifa kwenye gazeti ina uzito zaidi, hapana.
Hata hiyo makala unayosema ww bado sio kigezo.
Si ajabu ukaona kwenye makala imeandikwa,"Tp mazembe hoi kwa simba".
Sasa habar Kama hii huwezi kuiamini eti kwa vile imeandikwa kwenye makala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
3,607
Points
2,000
K

Kimbori

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
3,607 2,000
Je dividends kwa mwaka huu ni kiasi gani per share??? Hayo mengine ni makelele ti.
 
Forum statistics

Threads 1,285,928
Members 494,830
Posts 30,879,298
Top