Yaan hapa teller za kuweka na kutoa ziko nne bt zinazofanya kazi ni mbili tuu,hizo mbili zingine wanajua wenyewe wanachokifanya ,ukweli watu ni wengi na foleni ni kubwa ukizingatia waanatumia mfumo wa tiketi,kwa hyo hadi tiketi namba yamba iitwe mmmh ushabunda sana,anghalieni bhana watu wana mambo yao kama mnapenda kutuona tumekaa tu hapa kwenye viti coz ya kiyoyozi na tv hata hatuvitaki cc tumefata huduma.
SOURCE : Mimi mwenyewe nko hapa ss hv ni km lisaa hivi nina tiketi namba 48.
Siyo hao tu bali benki nyingi sana hali iko vile tatizo ni kuajiri kwa vimemo na kuangalia sura badala ya ufanisi. Nenda Exim Mlimani City na benki nyingine nyingi tu hali ni hivyo