CRDB internet banking

Confirmation msg huwa haipiti kutwa bila kupata msg yake, kama unaweza rud tena uliza kama unaweza jaza form tena maana nahisi uenda hata ww ulikosea namba yako then ukawa unawalaumu wao

ngoja nijaribu tena nione
 
ila mm nilifungua mwezi wa 12 mwaka jana baada ya wiki walinitumia notification nazani pana uzembe kwa watu ila sio wote nashukuru
 

Upo mkoa gani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…