Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 616
- 1,123
Naomba kuuliza hii huduma unaweza ipata vp, maana Huwa nafanya miamala Kwa muda mrefu kabla hii huduma haijazinduliwa, nimeangalia kwenye simbanking app naona kiwango Cha mm kuweza kupata huduma hii ni Tzs 0.00. Sasa naomba kufahamishwa nawezaje kutumia huduma hii