Crdb bank munatuaibisha system kugoma nchi nzima

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF

Kuna Jambo mmoja huwa nashidwa kabisa kuelewa shirika kubwa kama CRDB BANK kuwa na System iko down over hours siwalewi kabisa hawa ni kuwa system zao (softwares/Hardware) inashida au Mitandao kama Internet ndio haiwafai au? maana makampuni mengi ya ku provide Internet yapo (SimbaNet,Voda,AirTel,Tigo,na mengineyo) na ninajua mna wataaramu safi ambao Kimei huwa unawatetemekea mitambo inapo korofisha sasa sielewi ndani ya Board ya CRDB Bank huwa hamjiulizi jinsi gani ya kwenda na wakati wa Technologia za kisasa maana mamboss mkiambiwa vitu vizuri mwajua kubania budget ila kwenda huko kwenye vikao mikoani na kutumia pesa nyingi kwa ajiri ya kuwapa wateja wenu sherehe (part kwenye mahotel makubwa) hamjambo ila system kuboresha mpaka tuwachambe hivi ndio mtashtuka.

My Take: Kimei na Cabinet yako kuweni watendaji na sio wapiga porojo(hatutaki SI HA SA) sisi wateja tunakerwa sana na service za kugoma goma ati kisa mtandao kweli mtandao mpaka Century hii 21st still mnakuwa na indefensibly reasons kweli, Muna wasomi wangapi wanao wapa ideals na tena very creative sasa hatuelewi ni urasimu wa nyie viongozi why Africans tunakuwa na mambo ya ajabu jamani BLACK IS BLACK siku zote tutakuwa hivyo.hivi lini sisi tuatjisifia na mashirika yetu au hapo tumeona imetosha kweli??

Management legelege na ndio service legelege itakavyokuwa hivi kweli profit haiboreshi vitendea kazi au na wafanyakazi hamuwajali na wao hawajali vitendea kazi usikute boss wa bracnh fulani huko ana ambiwa boss hiki chatakiwa kufanyiwa hivyi anajifanya ooh sija pewa pesa ya matumizi ya kutosha kumbe kachimbi nyingine hawa mabranch manager ndio wakwanza kabisa kuzolotesha CRDB BANK esp kwenye branches huko mikoani.
 
Siku ya leo imekuwa ngumu kweli kwa hakika, akaunti ina pesa, mtandao hakuna.

Kaaz kwel kwel...!!
 
Kwa kweli mashine za atm za crdb ndio zinanichefua kabisa...ukitaka ujute mpaka mwisho jaribu kutegemea atm zao hasa jmosi mida ya asubuhi hadi mchana ,utajuta kuzaliwa ,always ziko down,tunaambiwa pesa imeisha...kha!!! Cmon cant you do something all these years??? Kwa kweli mi nilishakoma kutegemea hizo mashine hasa ya pale knyama,mikocheni,namanga na sasa ya oysterbay..zote ni hopeless!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom