vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Welcome KCB, leave my country Tanzania ifanye siasa kwanza.
Welcome KCB, leave my country Tanzania ifanye siasa kwanza.
Subutu ..... benki ya manyang'au. Kesho usikie wamerudi kwao kenya kama Uchumi wanavyojiandaa kurudi.
Jiunge na benki tu kama unafanya bishara inayohitaji kupitishia pesa benk au kama unafanya kazi na wanapitishia mshahara benki azawais godoro lako ukiongeza na M PESA Ni mahala pa usalama zaidi. Godoro halina benki charges, halina foleni, halina system down, huwezi kuibiwa kimtandao n.k
Kama humwamini wife hela zako weka mpesa. kama mnaaminiana weka kwa godoro. hakuna atakae kukuvamia nyumbani kama hutatangaza kwamba unahifazi pesa kwenye godoro
ACB au TPB vip?
Sasa ukiweka pesa kwenye godoro na dunia ya sasa ivi tunakwenda kutumia kwa credit card kufanya purchases so utaishije mkubwa?