CRDB BANK Moro -Ulipo tupo

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,554
Reaction score
2,161
Gari la Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Morogoro-Masika ikiwapa Hi wateja waliopo ndani ya Bank hiyo.

 
Kama nawaona Askari wa zamu na wale wa KK/ULTMATE/SGS walivyomtokea mara ghafla wakakuta ni boss yaani asingekuwa Boss PANGECHIMBIKA...
 
Samahani naomba niikuze...maana kama sioni vizuri..




Huyu Meneja nahisi atakua alikua ametoka kuangalai ile movie ya Bank robbery sasa akaamua ku-test uimara wa jengo lake
 
Naona kama alikuwa anataka kujiboko haramu vile,pole wateja
 
Samahani naomba niikuze...maana kama sioni vizuri..




Huyu Meneja nahisi atakua alikua ametoka kuangalai ile movie ya Bank robbery sasa akaamua ku-test uimara wa jengo lake

Hakuna lolote hapo ni Photo shop hiyo!!
 
atakiua alikua anajikuna sehemu nyeti akazidiwa na kushindwa kubalansi miguu
 
Samahani naomba niikuze...maana kama sioni vizuri..




Huyu Meneja nahisi atakua alikua ametoka kuangalai ile movie ya Bank robbery sasa akaamua ku-test uimara wa jengo lake



Good guy never give it up everything is possible if 50 fvck vivica
 
Samahani naomba niikuze...maana kama sioni vizuri..




Huyu Meneja nahisi atakua alikua ametoka kuangalai ile movie ya Bank robbery sasa akaamua ku-test uimara wa jengo lake

Set it off...nice movie

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
watakua wameongeza huduma ya kuhifadhi na magari si pesa tu
 
hao wadada wa pili toka kulia mashallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…