Kwel kabsa nduguMkuu hiyo ni for your own security. Na hasa kama una draw zaidi ya million 5. Na mara nyingi hufanya hivyo kama account yako haina mazoea ya kutolewa hela sehemu zaidi ya ulipofungulia.
Ukifanya transactions kama hizo zaidi, basi wanakuwa hawafanyi tena hivyo.
Vumilia mkuu.
Mkuu huu ni zaidi ya usumbufu mkubwa sana,nini maana ya kuanzisha huduma za on line?Mkuu hiyo ni for your own security. Na hasa kama una draw zaidi ya million 5. Na mara nyingi hufanya hivyo kama account yako haina mazoea ya kutolewa hela sehemu zaidi ya ulipofungulia.
Ukifanya transactions kama hizo zaidi, basi wanakuwa hawafanyi tena hivyo.
Vumilia mkuu.
Usilinganishe CRDB na kile kimeo NMB ambao wanangoa ATM sababu ya dili zaoCRDB imekuwa ya ovyo sana.
Mkuu siyo ile CRDB ya mwaka 2010-2015, 2016 imekuwa ya ovyo sana muda mwingi ATM hazifanyi kazi. Kikubwa wajirekebishe.Usilinganishe CRDB na kile kimeo NMB ambao wanangoa ATM sababu ya dili zao
Mkuu nini kifanyike sababu kila mtu analalamika tu lakini hakuna solution?Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda mkuu
Kwanza tungejua ulikuwa unatoa kiasi gani, pia account history yako. Ni kawaida ya bank yoyote kuhakikisha wanalinda pesa ya mteja wake. Kumbuka umesema hiyo sio domicile branch yako, kama ulikuwa unachukua pesa ambayo iko juu ya kiwango ambacho bank imejipangia ni lazima wapate kujiridhisha toka branch yako.Huu mtindo wa mtu kwenda kuchukua fedha tawi tofauti na alilofungulia account na wafanyakazi wa crdb hawampi ela hadi wapige simu kwenye tawi ulilo fungulia account ndio upate huduma huu ni usumbufu kwa wateja na kuturudisha miaka ya 1990.sasa kuna mtandao lkn mambo ni yale yale?