KERO CRDB Bank mnahuduma mbovu, mjirekebishe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
Hii bank nadhani kwa sasa wanabweteka sana hawajali tena wateja wao. Imagine wateja 8 tu wanahudumiwa masaa matatu kwenye huduma za kutoa/kuweka pesa dirishani, hivi mnaajiili vilaza au?

Na kama mnajua mnaajili vilaza si muwajaze kwenye counter zote ili wasaidiane angalau tupate huduma haraka? Sasa mnaweka tellers wawili tu kuhudumia wakati madirisha mengine yapo na mnajua they are incompetent. How do you assess their performance?

Hii haikubaliki aisee, na siwezi kaa kimya pamoja na kwamba nawahama.

IMG_20250609_143200_280.jpg
 
Bado mna wekea pesa dirishani nilizani JF wote tuna chukulia na kuwekea pesa kwa manager ..najitoa humu asee
 
Hongera sana mama mazee.. Dudukwe wetu ametinga unitedi..
1000037247.jpg
 
Hii bank nadhani kwa sasa wanabweteka sana hawajali tena wateja wao. Imagine wateja 8 tu wanahudumiwa masaa matatu kwenye huduma za kutoa/kuweka pesa dirishani, hivi mnaajiili vilaza au?

Na kama mnajua mnaajili vilaza si muwajaze kwenye counter zote ili wasaidiane angalau tupate huduma haraka? Sasa mnaweka tellers wawili tu kuhudumia wakati madirisha mengine yapo na mnajua they are incompetent. How do you assess their performance?

Hii haikubaliki aisee, na siwezi kaa kimya pamoja na kwamba nawahama.

Kitu kimesimama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom