MwanaMagongo
Member
- Aug 15, 2011
- 76
- 47
Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa. Majirani wana watoto wadogo, muda wa saa 11 alfajiri watu bado wamelala, wenye kufanya ibada ndo muda wa ibada huo, unajiuliza hizi kelele mbona NMB makao makuu hawak9 mbali hawana kelele kama hizi Stanbic bank(kwa Hamza Mjegeje) hawana na ni karibu tu hapo, ABSA na EXIM makao makuu si mbali. Wao tu ni kelele mwanzo.mwisho, tumeisha lalamika mpaka NEMC. wakaishia kuwalazimisha wafunge sound proof kule juu tu ambako nako kila ijumaa ya mwisho wa mwezi ilikuwa lazima wakeshe na mziki mpaka saa 6 usiku, imagine watu hawalali kisa we na starehe zako na unaweza kuzidhibiti