OME123
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,497
- 605
Kwanza kabisa hongera benki ya CRDB BANK kwa huduma mnayotupatia. Pili tunaomba uongozi wa benki kuwabadilisha wafanyakazi wa branch moja kwenda kwingine( kuhamisha wafanyakazi) hili suala litaongeza tija kwa watoa huduma na vile vile itaondoa kero kwa wateja,
mfano unakuta mfanyakazi mmoja anakaa tawi moja kwa miaka zaidi ya kumi inaleta kero sana,waige wenzao NMB ambayo mfanyakazi akikaa baada ya muda anahamishwa kwenda kwingine.
Natanguliza shukrani zangu kwa Charles Kimei na Uongozi wa Bank.