REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,246
- 11,460
Si ndio kero nyingine hiyo processing fee 2% haya nenda kwenye bima ya mkopo napo unajikuta upo kwenye asilimia 17 pale palewameanza lini haya, halafu wameongeza loan processing fee kutoka 1%-2% japo riba wameshusha
Mwalimu umepatwa na nini mbona mapema sana subiri benki wajipange na mama atoe hitimisho kama % zilikuwa sawa au walikosea ili ukope mzigo mrefuNiende moja kwa moja kwenye mada utaratibu mpya mliouleta kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma unakera kumbukeni mtu anakuja kukopa kwa sababu mbalimbali ikiwemo na maradhi mfamo leo hii miye mtu ana mgonjwa inaitajika pesa anaona ngoja nikakope CRDB niweze msaidia mgonjwa wangu anakuja kwenu mnaanza kahamishe mshahara upitie bank yetu hii ni kero kama makato yenu si mnatapa msirazimishe mteja au mmeanza kuwa kiburi kisa riba yenu ni 13%
Haya mshahara mteja anahamisha mnasema hamuwezi kuweka pesa mpaka muone mshahara unaingia kupitia bank yenu yani mteja akae siku therathini anasubulia mkopo hii ni kero ina maana hata hiyo pesa akiipaata haina maana tena vigezo vingine ni kero kero ondoeni huu ni ushauri tu.
fuata taratibu za watu acha mambo yako mkuuNiende moja kwa moja kwenye mada utaratibu mpya mliouleta kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma unakera kumbukeni mtu anakuja kukopa kwa sababu mbalimbali ikiwemo na maradhi mfamo leo hii miye mtu ana mgonjwa inaitajika pesa anaona ngoja nikakope CRDB niweze msaidia mgonjwa wangu anakuja kwenu mnaanza kahamishe mshahara upitie bank yetu hii ni kero kama makato yenu si mnatapa msirazimishe mteja au mmeanza kuwa kiburi kisa riba yenu ni 13%
Haya mshahara mteja anahamisha mnasema hamuwezi kuweka pesa mpaka muone mshahara unaingia kupitia bank yenu yani mteja akae siku therathini anasubulia mkopo hii ni kero ina maana hata hiyo pesa akiipaata haina maana tena vigezo vingine ni kero kero ondoeni huu ni ushauri tu.
asilimia 13 ni changa la macho mkuuSi ndio kero nyingine hiyo processing fee 2% haya nenda kwenye bima ya mkopo napo unajikuta upo kwenye asilimia 17 pale pale
Kwaiyo watumishi wa umma nchi hii ni walimu tu ebu badilikaMwalimu umepatwa na nini mbona mapema sana subiri benki wajipange na mama atoe hitimisho kama % zilikuwa sawa au walikosea ili ukope mzigo mrefu
Taratibu lazima zifuatwe na tumekuja hapq kutoa ushaurifuata taratibu za watu acha mambo yako mkuu
hizo ndo taratibu zao ,zifuate au basi
Usishangae... Huku jf kumeingiliwa na wenye mtindio wa ubongo , uzezeta umekithiri !!!Kwaiyo watumishi wa umma nchi hii ni walimu tu ebu badilika
hakuna bank yenye riba rafiki kwa mteja ni maumivu tuu ila shida zetu ndio zinatajilisha watuNiende moja kwa moja kwenye mada utaratibu mpya mliouleta kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma unakera kumbukeni mtu anakuja kukopa kwa sababu mbalimbali ikiwemo na maradhi mfamo leo hii miye mtu ana mgonjwa inaitajika pesa anaona ngoja nikakope CRDB niweze msaidia mgonjwa wangu anakuja kwenu mnaanza kahamishe mshahara upitie bank yetu hii ni kero kama makato yenu si mnatapa msirazimishe mteja au mmeanza kuwa kiburi kisa riba yenu ni 13%
Haya mshahara mteja anahamisha mnasema hamuwezi kuweka pesa mpaka muone mshahara unaingia kupitia bank yenu yani mteja akae siku therathini anasubulia mkopo hii ni kero ina maana hata hiyo pesa akiipaata haina maana tena vigezo vingine ni kero kero ondoeni huu ni ushauri tu.
Surehakuna bank yenye riba rafiki kwa mteja ni maumivu tuu ila shida zetu ndio zinatajilisha watu
Wanageuza wateja vihioUmeniwahi mkuu
N ujuha wa khali ya juu kulazimishana eti mpaka mshahara uingie kwny account ya bank yao.
wanafanya shida kuwa fursahakuna bank yenye riba rafiki kwa mteja ni maumivu tuu ila shida zetu ndio zinatajilisha watu
Punguza hasiraUsishangae... Huku jf kumeingiliwa na wenye mtindio wa ubongo , uzezeta umekithiri !!!