CRDB Azikiwe manusura kuungua moto

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF

Leo kulikuwepo pilika kali majira ya saa nne na nusu baada ya sehemu ya jengo wanalopanga crdb azikiwe kushika moto. Watu ambao walikuwa juu walikuwa wakichungulia wasipate la kufanya huku wakiwasubiri faya waje kuwaokoa. Bahati nzuri watu wenye utaalam waliweza kuuzima kabla haujasambaa. Leo faya wamewahi sana.

Namshru JPM kwa kuweka katika hali ya tayari kwa kukabiliana na tukio. Hima mkuu wa faya. Jeshi lako liweke sawa sio mnasingizia vifaa kukosa.

20190816_105043.jpg
 
Wana jf

Leo kulikuwepo pilika kali majira ya saa nne na nusu baada ya sehemu ya jengo wanalopanga crdb azikiwe kushika moto. Watu ambao walikuwa juu walikuwa wakichungulia wasipate la kufanya huku wakiwasubiri faya waje kuwaokoa. Bahati nzuri watu wenye utaalam waliweza kuuzima kabla haujasambaa. Leo faya wamewahi sana. Namshru JPM kwa kwaweka katika hali ya tayari kwa kukabiliana na tukio. Hima mkuu wa faya. Jeshi lako liweke sawa sio mnasingizia vifaa kukosa.
JPM yuko hapo zimamoto???
 
JPM yuko hapo zimamoto???
Ni kama yupo kwani baada ya ajari ya moro faya wanaonekana kuwajibika kwa wakati ukilinganisha na pale kabla wmkuu hajaamuru kufanyike uchunguzi wa kujua faya na polisi walikuwa wapi wakati wa tukio hili ova
 
kuna mkuu wa wilaya ameamuru wafanyakazi wa hospital wakatwe mshahara walipe kifaa kilichopotea,

Je JPM ni kama yupo hapo na ndiyo ameagiza hivyo??
 
Sisi tumeuzima moto lakini sifa na utukufu tunakurudishia wewe.
 
Wana JF

Leo kulikuwepo pilika kali majira ya saa nne na nusu baada ya sehemu ya jengo wanalopanga crdb azikiwe kushika moto. Watu ambao walikuwa juu walikuwa wakichungulia wasipate la kufanya huku wakiwasubiri faya waje kuwaokoa. Bahati nzuri watu wenye utaalam waliweza kuuzima kabla haujasambaa. Leo faya wamewahi sana.

Namshru JPM kwa kuweka katika hali ya tayari kwa kukabiliana na tukio. Hima mkuu wa faya. Jeshi lako liweke sawa sio mnasingizia vifaa kukosa.

Hivi vijana wa lumumba huwa mnakwama wapi
Kwa uandishi huu mmmmmmmmh
 
Back
Top Bottom