KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292

Jana niliomba statement CRDB, nilikutana na makato ya ajabu.

Mlolongo huu wote huwa mnatuibia.

Card Fees TZS 3000

ATM Withdrawal charge TZS 500

COMM EFT TZS 1500

Monthly Maintanace Fees 400

Service Fees Memo Account Style 700

Charge areas Towards Monthly Mantanace Fees 400.

Pia huwa mna-double charge. Huu sio ustarabu, maisha ni magumu, acheni wizi.Msitufanye tumetoka kijijini kwa kutuwekea terminologies au vifupisho vya maneno.
jana niliomba statement crdb, nilikutana na makato ya ajabu.
Mlolongo huu wote huwa mnatuibia.
Card fees tzs 3000
atm withdrawal charge tzs 500
comm eft tzs 1500
monthly maintanace fees 400
service fees –memo account style 700
charge areas towards monthly mantanace fees 400.
Pia huwa mna-double charge. Huu sio ustarabu, maisha ni magumu, acheni wizi.msitufanye tumetoka kijijini kwa kutuwekea terminologies au vifupisho vya maneno.

Mimi pia nilitoa milioni moja kwenye atm. Cha kusikitisha atm ilikuwa ikitoa laki mbili mbili tu na hivyo kunilazimu kutoa mafungu matano badala ya mawili na kuniibia elfu moja kwa huduma hiyo. Huu ni wizi mbaya.
Hakuna wizi wowote makato yapo sawa tena niwapongeze CRDB kwa kukusanya charges katika huduma zao, kwani bila charges huduma isingekuwa nzuri leo hii. Bank ni duka kama maduka mengine hivyo kukusanya mapato yake kwa huduma wanazotoa ni suala la muhimu kuliko chochote. Kadi inapokamatwa ni utaratibu kupewa siku inayofuata kama siyo weekend. Kwa hiyo kuambiwa uchukuwe j3 afisa huyo amefanya jambo sahii. Tusipende kulalamika pasipo kujua utaratibu wa mahala popote pale.
Mteja wa CRDB