Crdb accounts updating

Crdb accounts updating

Ilikuwa mwisho leo ila nimesikia wameongeza miezi 6, hizi banks haziko serious
 
mm najua accounts zazaman ndo wanafunga sasa kama mm niliupdate mwaka jana will i have to do it again
 
mm najua accounts zazaman ndo wanafunga sasa kama mm niliupdate mwaka jana will i have to do it again
na mimi hiki kitu kinanitatiza mwaka jana nimeupdate mwaka huu tena tasikiaa na mwakani.,nahiai wameona mwitiko wa watu sio mkubwa wameona waongeze siku
 
Mi akaunti zangu zipo Uswisiiii poleni wenye hela ya madafu na vi akaunti vyenu,wenye nchi hayo mambo hayatuhusu.
 
Back
Top Bottom