Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 422
- 422
1. Account inasoma zero.. Hata nikiomba statement wanasema haiwezekani mpaka angalau account iwe na kitu.Omba statement ya account, inawezekana kuna muamala wa nyuma hawakukata pia.
Hicho ni kipengele rafikiHabari WanaJF
Niende Direct kwenye mada.. Mimi ni mfanya biashara za mtandaoni mara nyingi huwa natumia CRDB Visacard kufanya malipo.
Tarehe 31/10 nililipa kiasi kama 2.8M nikapokea notification vizuri ya kiasi kilichobaki kwa account kilikuwa kama 1.2M.
Tarehe 1/11 nikataka nifanye tena malipo ya kama laki 1 na 50 nikaambiwa sina salio la kutosha.. Nikaingia SimBanking nikakuta maajabu sana
1. Kiasi halisi ni 3.98M Tzs (huwa wanachelewa kidogo kukata online paid amount).
2. Kiasi kinachopatikana 0Tzs Ilihali ilitakiwa isome ile 1.2M Tzs.
Watu wa online payment na watumiaji wa SimBanking watakuwa wamenielewa.
Nika deposite 20,000 Tzs kutoka TigoPesa ili niitumie ku request statement ajabu ikaingia na kusoma upande wa kiasi halisi ikawa 4M huku kiasi kinachopatikana still kikawa 0Tzs
Nikaenda Tawi la CRDB la karibu wamenipa very short and um awared answers ni kama vile hawa ma customer care hawaelewi tatizo langu
Nimejaribu kuskilizia kwa muda nahisi maybe ni tatizo la ki system litakaa sawa lakini wapi..
Naombeni muongozo wakuu kama hili limeshawahi tokea kwa yeyote au kama nitapata mtu wa system kunisaidia nitashukuru sana.
Asanteni sana
Waulize ni kiasi gani uweke ili uweze pata statement , baada ya kupata angalia kama kuna issue huelewi na andika barua ya complain kabisa na hakikisha iwe stamped received by the bank, ukiona wanakusumbua kuna kitengo cha malalamiko BoT . Naamini ukipata statement wataweka mambo sawa1. Account inasoma zero.. Hata nikiomba statement wanasema haiwezekani mpaka angalau account iwe na kitu.
2. Hakuna muamala haukukatwa sababu kila muamala nnao ufanya message inakuja na salio huwa nikicheki linapungua.
Ushauri mzuri sana.. Asante DadakeNenda kwenye tawi lako kaonane na branch manager,
usipoelewa wapeleke mahakamani
Nilikuwaga natumia kwa ajili ya sponsored adds sahivi nimeacha kabisa
Kivipi mkuu?KAZI ni kipimo Cha utu
Waulize ni kiasi gani uweke ili uweze pata statement , baada ya kupata angalia kama kuna issue huelewi na andika barua ya complain kabisa na hakikisha iwe stamped received by the bank, ukiona wanakusumbua kuna kitengo cha malalamiko BoT . Naamini ukipata statement wataweka mambo sawa
Jumatatu naenda tena Tawini nitaleta mrejeshoUmefikia wapi mkuu
Wizi waki pumbavu sana.. Hawajui kila mteja anageneral statement ya account kichwani achilia mbali statement zao? Ngumu sana kuiba wazi wazi.CRDB Matapeli sana, pesa kutoka nje ya nchi zinashikiliwa zaidi ya wiki kadhaa kabla ya kuingizwa kwenye akaunti yako. Hawatoi notification yoyote kama pesa imeingia kwenye akaunti, sijui wanataka usijue chochote ili wazipige?
Halafu hili lalamiko la hivi sio mara ya kwanza kulisikia transaction za online huwa ni kero crdb hajawa stablelized mfumo unazinguaCRDB Matapeli sana, pesa kutoka nje ya nchi zinashikiliwa zaidi ya wiki kadhaa kabla ya kuingizwa kwenye akaunti yako. Hawatoi notification yoyote kama pesa imeingia kwenye akaunti, sijui wanataka usijue chochote ili wazipige?
Ameshasema ameenda kabisa ofisini lakini hajapata majibu, hawa customer care wanakusbirisha hewan dakika 10 na wakipokea hawawezi kukusaidia maneno mengi, yani wanakutatulia tatizo kama wamekalilishwa hivi kwenye menu ukiwauliza mambo mengine ya kimfumo hawanaga majibuWapigie 0800008000 saivi ulete mrejesho