Lakini ninavyojua mimi kwenye majamboz kuna style inaitwa 'Kuosha vyombo' na nyingine inaitwa 'kuangalia TV'
Nadhani shemeji hakutoka nje ya mada.
jamani ndiba!
Lakini ninavyojua mimi kwenye majamboz kuna style inaitwa 'Kuosha vyombo' na nyingine inaitwa 'kuangalia TV'
Nadhani shemeji hakutoka nje ya mada.
Hizo style zitakua ni noma chief..Lakini ninavyojua mimi kwenye majamboz kuna style inaitwa 'Kuosha vyombo' na nyingine inaitwa 'kuangalia TV'
Nadhani shemeji hakutoka nje ya mada.
[h=6]CRAZY WIFE.
Ilikuwa mida ya usiku, baada ya kula chakula cha lala salama mke akamwambia mumewe
MKE: Honey, leo tubadilishe style. Kila siku style hiyo hiyo!
(Mume kwa furaha akajibu)
MUME: Kama ulojuwa mke wangu,jambo hilo lilikuwa mawazoni mwangu. Sasa leo tutafanya style gani?
MKE: Wewe utaosha vyombo, mimi niangalie TV.[/h]
Sisi kwetu tunaita HBmmh! Kwl crazy wife,kwetu tunawaita "hot cakes"