Nilikuwa nikienda kupiga punyeto!najitayarisha kama naenda library na bweni lazima wajue!!!nabeba kikopo changu,sabuni na picha ya kunipa stimu demu kakaa kihasara ni ya porn! hiyo tulikuwa tunaazimana kwa kila mpiga nyeto!
Me nakumbuka shule as girls school kuna kaugonjwa kakucheka cheka,basi kipindi hicho sijui tulikua hatujawekewa mafuta ya taa??? Basi tukaanza kucheka hahahaaaa uuuuuuuuuu!!!!! Basi darasa hadi darasa yani likitoka hili wanapokea hawa,,walimu wakaja darasani kwetu wameingia tu,tukaangua kicheko weee majanga wakasema tunawacheka wao,tulisambaziwa kichapo jamani huku tunacheka bado unachapwa huku unachapwa,,tukatolewa nje kwenye jua kupiga magot bad tunaangu kichek balaa tulichapw had nikalazw hospital wik nzim sijielewi,,
Hahaaa duh mmenikumbusha mbali idodi iyo af mwezi wa ramadhan ugali wa daku umepikwa tangu sa 9 mchana watu tumetoka prepo fasta bwenini kwnda kuchkua vyombo kufika sehemu ya kugawia msos aanh...!! Kubabek kuna wapuuz wametuibia ugali wetu wa daku almost nusu na robo ya sufuria......!!!! Anh hapo yaliongelewa maneno ya kiislam oh...... laana kum. astaghafirullah wengine tuwasomee albadili dah.
Ila kuna watu wana roho mbaya.
Wale waliosoma mlama sec nlikuaga na chali yangu mmoja kipindi tunasimuliana vibwenge tulikuaga na kopo letu la kukojolea....jamaa alikuaga mwoga akiamka lazima anistue so tunakojoa kweny kopo afu mkono tujamwaga nnje ya dirishaaa.....
Na kuna washikaji wangu walikuaga vikojozi balaa afu wakakaa kweny deka moja si ilikua balaa ....huyu jamaa akikojoa leo kesho wana swap aliyekojolewa anamkojolea tena ilikuaga ugomvi kila siku😁😁😁😁😁
Na kuna mshikaji wangu huyo nlikuaga nikiamka afu nikamuona yy najua uji napata sasa balaa niamke nisimkute najua uji ndo ushaisha ...sasa nikiamka nimkute bado hajaondoka so najiguarentee napata uji so na kweli naenda kunywa na napata kweli
Hakuna aliyewahi kushiriki mtungo humu?
Hakuna aliyewahi kushiriki mtungo humu?