Crazy GK na JK

Crazy GK na JK

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
rais akiwa na mwanamuziki King Crazy GK ikulu katika futari ambayo rais aliwaalika wasanii mbalimbali.
f39.jpg
 
JK bhanaa...ninahisi kuna vitu hakuvifanya akiwa kijana!!!
 
Yan nimekkubali sana as GK z my best artist in bongo nimejikuta naisave kwenye cm yangu hii Picha
 
jamaa hajafunga ilakagonga futari ya mkuu, wasanii wa lumumba wa buku saba vp hawajaenda
 
Yaani kila mtu anaenda ikulu isipokuwa mimi tu!
 
Leo ilikuwa zamu ya wasanii leo kula lkulu?
 
JK bhanaa...ninahisi kuna vitu hakuvifanya akiwa kijana!!!
Kweli mkuu raisi kupeana tano na msanii???ahaaa!!!NINYI Maccm ebu tuambieni hii ndio nini anavyofanya mwenyekiti wa chama chenu?????
 
jive shavu..!nice pic mzee anakubalika pote!?
 
Back
Top Bottom