Crate za bia 48 zinauzwa

Crate za bia 48 zinauzwa

bikola

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
17
Reaction score
1
Ndugu wanajamvi ninauza crate za bia 48 na chupa zake tupu kwa shs 10,000 kila moja. wasiliana nami kupitia 0717489246. nipo dsm
 
Kreti pamoja na chupa au kreti tupu?! Toa majibu
 
niko mlandizi, naweza kuletewa kwa gharama yako ya usafiri?
 
mzee, punguza bei kdogo to wallau 6000 per crate au 7000 nitazichukua zote
 
Back
Top Bottom