CRANE toka nje, itakuwa inaweza kubeba tani 26 na inaizidi vipi CRANE XCMG 56000 KG yenye kuweza kubeba tani 90?

Kumbukeni hii crane inakuwa hapo muda wowote. Inapotokea unafungua gate lazima utumie crane.
Mambo ya Hydro Plant ukiyajua huwezi shangaa hilo.
 
MILANGO YA BWAWA LA UMEME, TANI 26, KUKODI WICHI TOKA NJE, NIKUTUPIGA WATZ NA KITU KIZITO

Watu wengi wameonekana kushangazwa na maelezo ya Waziri wa sekta husika baada ya kujibu hoja mbungeni kuhusu maendeleo ya mradi wa bwawa la umeme Lililopo kati ya Rufiki na Morogoro.

Ambapo Waziri alisema, Hatua ya kwanza ya kujenga ukuta imeishafanyika isipokuwa hatua ya pili ambayo nikuweka MILANGO YA CHUMBA YENYE TANI 26 ndiyo bado haijakamilika kwa sababu INASUBIRIWA CRANE (WICHI) YA KUKODI TOKA NJE YA NCHI KWA AJILI YA KUJA KUSETI HIYO MILANGO.

WAZIRI kama umeambiwa basi maelezo uliyoambiwa na unayotakiwa kuyatoa kwa umma wa Watanzania yalitaliwa kuwa na ufafanuzi mzuri na wenye kueleweka.

Haiwezekani Crane zilizoko ndani ya mradi wa umeme zishindwe kubeba mzigo wa tani 26. Wakati Crane ZILIZOKO KWENYE MRADI ZIKO ZENYE KUBEBA TANI 25, 50, 60, 90, 120 NA HATA 200

Waziri CRANE ILIYOPO KWENYE MRADI WA UMEME AINA YA XCMG (Total Mass: 36000 Kg Ukichomoa Boom Angle ya Lenght 10.3 na boom ikawa kwenye mlalo wa Mita 4 INAWEZA KUBEBA TANI 43.5, 53 na TANI 55 ILA ITAWAKA ALAMA YA NJANO KUONESHA NI HATARI

Crane XCMG 36000 Kg ikiwa na Counter weight 7.6 boom ikawa Mlalo wa 20.6 na radius ya Mita 3, Crane hii INAWEZA KUBEBA MZIGI TANI 26.0 HADI 27.6.


Hii CRANE ya kusubiriwa kutoka nje ya nchi ina uwezo gani wa ziada kuzidi crane zilizoko ndani ya mradi au ina maajabu yapi kuliko crane zilizopo.

Hii CRANE inayosubiriwa toka nje ni ya nani na inakodiwa dola ngapi kwa saa na itatumia siku ngapi?

Hii CRANE toka nje, itakuwa inaweza kubeba tani 26 na inaizidi vipi CRANE XCMG 56000 KG yenye kuweza kubeba tani 90.

Hii CRANE YA KUKODIWA ina maana inaizidi LIBBER CRANE ambayo inaweza kubeba TANI KATI YA 50, 90 na 120.

CRANE HII TOKA NJE INAIZIDI CRANE AMBAYO IKO KWENYE MRADI NA INAWEZA KUBEBA TANI 200 mbona kama nikuwapiga Watanzania na kitu kizito.

CRANE Toka nje inazizidi uwezo Crane Tower zote zilizoko kwa Mchina, Mwarabu, AFFCO na zinginezo, Hapana Mh, Waziri maelezo hayawaridhisha Watanzania.

Watanzania wa sasa wameishaelimika na wanahitaji ufafanuzi yakinifu ili kuwaridhishView attachment 2014320
Unatumia nguvu nyingi kwa jambo jepesi......

CRANES zinazosubiriwa ni zile IMMOVABLE na si hizo upigiazo kelele.......

Siempre JMT
 
Jamaa kataka kutudanganya WaTz milioni 60, na wengine ambao hatujui tulishamwamini huyo boya, kumbe wapo wanajua hivyo vitu.., sijui wanatuonaje WaTz
Mkuu hoja ya mh.waziri Makamba inapotoshwa sana.....

Hoja yake ni kuzisubiri CRANES ambazo ni IMMOVABLE....za kupachikwa palepale na si hizo zilizopo.......

Tatizo letu kila Jambo tunalifanya ukosoaji wa kisiasa......🤣🤣
 
So za kupachikwa palepale zinakodiwaje

One zuzu jingine hili
Kwani Waziri ndiye mhandisi ?!!

Ungekuwa mweledi usingeshindwa kujua kuwa wale ARAB CONTACTORS wana sub-contractors wa kumwaga tu pale.....hao ndio wahusika....Waziri anaingia tu katika ufafanuzi wa kwanini kuna kusuasua kwa kazi.......
 
Kwani Waziri ndiye mhandisi ?!!

Ungekuwa mweledi usingeshindwa kujua kuwa wale ARAB CONTACTORS wana sub-contractors wa kumwaga tu pale.....hao ndio wahusika....Waziri anaingia tu katika ufafanuzi wa kwanini kuna kusuasua kwa kazi.......
Kale buku5 maana akili unaachaga getini
 
Mkuu hoja ya mh.waziri Makamba inapotoshwa sana.....

Hoja yake ni kuzisubiri CRANES ambazo ni IMMOVABLE....za kupachikwa palepale na si hizo zilizopo.......

Tatizo letu kila Jambo tunalifanya ukosoaji wa kisiasa......🤣🤣
Zinapachikwa hapo hapo halafu zinakodishwa au sio?
 
Nimegundua ujinga ni hatari sana.
Mleta uzi pamoja na wale wanaokuunga mkono,pata muda wa kutembelea mradi mmoja wapo wa kuzalisha umeme kwa njia ya maji.Utajua ni crane ya namna gani inazungumziwa ili utofautishe na hizo unazozifahamu wewe.

Kumbe ndiyo maana Mungu huwainua wanyenyekevu.Huyu mtu wa Mungu anatukanwa bure kwa sababu ya watu wasiojua wakisemacho
 
Back
Top Bottom