Mkuu wewe ni mkongwe sana humu jukwaani na ni muhitimu wa Chuo kikuu, ila umeniangusha kwenye uandishi wako ambao hauko fasaha.Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board.
Sina ABC ya hicho kitu.Nikwel mkuu ila naitaji utaratibu nianzie wap?
Utaanza level ya Pili inaitwa foundation , ukimaliza utafanya intermediate na mwisho ni final jiandae kuchoka akili na Mali pia,kila lakheriNaitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board.
Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board.