tycun Member Joined Dec 16, 2011 Posts 52 Reaction score 11 Aug 27, 2019 #1 Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board.
Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Aug 27, 2019 #2 tycun said: Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board. Click to expand... Mkuu wewe ni mkongwe sana humu jukwaani na ni muhitimu wa Chuo kikuu, ila umeniangusha kwenye uandishi wako ambao hauko fasaha. Kila la kheri!
tycun said: Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board. Click to expand... Mkuu wewe ni mkongwe sana humu jukwaani na ni muhitimu wa Chuo kikuu, ila umeniangusha kwenye uandishi wako ambao hauko fasaha. Kila la kheri!
tycun Member Joined Dec 16, 2011 Posts 52 Reaction score 11 Aug 28, 2019 Thread starter #3 Mwifwa said: Mkuu wewe ni mkongwe sana humu jukwaani na ni muhitimu wa Chuo kikuu, ila umeniangusha kwenye uandishi wako ambao hauko fasaha. Kila la kheri! Click to expand... Nikwel mkuu ila naitaji utaratibu nianzie wap?
Mwifwa said: Mkuu wewe ni mkongwe sana humu jukwaani na ni muhitimu wa Chuo kikuu, ila umeniangusha kwenye uandishi wako ambao hauko fasaha. Kila la kheri! Click to expand... Nikwel mkuu ila naitaji utaratibu nianzie wap?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Aug 28, 2019 #4 tycun said: Nikwel mkuu ila naitaji utaratibu nianzie wap? Click to expand... Sina ABC ya hicho kitu. Kabla tunasubiri wadau wanaojua waje kuelekeza, anzia pia huko mtaani kuuliza kwa wenye fani hizo waweza bahati kuelekezwa
tycun said: Nikwel mkuu ila naitaji utaratibu nianzie wap? Click to expand... Sina ABC ya hicho kitu. Kabla tunasubiri wadau wanaojua waje kuelekeza, anzia pia huko mtaani kuuliza kwa wenye fani hizo waweza bahati kuelekezwa
Lukub JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,790 Reaction score 4,284 Aug 28, 2019 #5 tycun said: Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board. Click to expand... Utaanza level ya Pili inaitwa foundation , ukimaliza utafanya intermediate na mwisho ni final jiandae kuchoka akili na Mali pia,kila lakheri
tycun said: Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board. Click to expand... Utaanza level ya Pili inaitwa foundation , ukimaliza utafanya intermediate na mwisho ni final jiandae kuchoka akili na Mali pia,kila lakheri
tycun Member Joined Dec 16, 2011 Posts 52 Reaction score 11 Aug 28, 2019 Thread starter #6 Lukub said: Utaanza level ya Pili inaitwa foundation , ukimaliza utafanya intermediate na mwisho ni final jiandae kuchoka akili na Mali pia,kila lakheri Click to expand... Thanx Mr.
Lukub said: Utaanza level ya Pili inaitwa foundation , ukimaliza utafanya intermediate na mwisho ni final jiandae kuchoka akili na Mali pia,kila lakheri Click to expand... Thanx Mr.
P peace11 Member Joined Aug 28, 2019 Posts 5 Reaction score 0 Aug 29, 2019 #7 tycun said: Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board. Click to expand... Umemaliza chuo gani mkuu?
tycun said: Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board. Click to expand... Umemaliza chuo gani mkuu?
mwantui JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 1,638 Reaction score 844 Aug 29, 2019 #8 Mkuu upo mkoa gani
tycun Member Joined Dec 16, 2011 Posts 52 Reaction score 11 Aug 29, 2019 Thread starter #9 Ifm peace11 said: Umemaliza chuo gani mkuu? Click to expand...
tycun Member Joined Dec 16, 2011 Posts 52 Reaction score 11 Aug 29, 2019 Thread starter #10 mwantui said: Mkuu upo mkoa gani Click to expand... Shinyanga
G gikaro Member Joined Oct 20, 2018 Posts 21 Reaction score 7 Sep 4, 2019 #11 Yawezekana amesema tu a c mhitimu wala wa chuo kikuu.