CPA

CPA

pilot Joseph

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
83
Reaction score
25
Naomba kufahamu CPA(Certified Public Accountant) ni level gani ya elimu? Baada ya kuhitimu unahesabika una Master's au Bachelor?
 
Leo ndo nimejua kirefu cha CPA.
Wahasibu mkuje huku mumsaidie mleta mada na sie wasoma comments.
 
Naomba kufahamu CPA(Certified Public Accountant) ni level gani ya elimu? Baada ya kuhitimu unahesabika una Master's au Bachelor?
Maana nimeona baadhi ya Vyuo vya vinavyotoa Master's entry qualifications wanasema Bachelor degree with GPA3 or above or CPA holder.
CPA ni kuwa certified professional na unakuwa chini ya Board ya Uhasibu kwa maana nyingine zaidi ya Bachelor degree ndio maana mwenye Bachelor degree ya Uhasibu lazima asome CPA Tena ndio awe professional.
Mfano kwa wana Sheria lazima aende Law School ili awe wakili.
Kwa ufahamu wangu umeishia hapo.
 
Kwahiyo ni bachelor
 
Kwahiyo ni bachelor
Sio sawa na Bachelor,
Na wala sio lazima uwe na Bachelor kama qualification ndio usome hiyo. Unaweza ukawa na CPA na huna Certificate, Diploma wala Bachelor yoyote.

Ukipitia njia hii,
Foundation Stages > (Atec 1&2)
Intermediary Stages (Module A, B, C &D)
Then Final Stages (Module E &F),
Hapa tayar una CPA. Hii ilikua miaka 5 nyuma, sina taarifa za sasa kwan nishatoka huko.

Ila kitu kimoja ni kwamba kwa Muajiri CPA inakuaminisha zaidi kama mhasibu kuliko Bachelor au Advanced Diploma ya Account. Professionally CPA ni kubwa wakati Academically Masters ya Finance ni kubwa.
 
Vipi ajira zake ni rahisi kupata au ngumu kufanikisha?
 
Mwenye CPA ni mhasibu au mkaguzi. Kibongo bongo huwezi kufa njaa, ila kama ndo kwanza umepata sio guarantee sana, maana wengi wanazo now days. Cha msingi ukiipata na kama we ni graduate usichague kazi.
 
Asante
 
Vyuo gani wanatoa CPA?
 
Vyuo gani wanatoa CPA?
Duh,
CPA huipati vyuoni, ni kwenye centres. Infact kuna baadhi ya vyuo silabas yake ya mwaka wa mwisho ni almost masomo yale ya CPA hivyo kama unazingatia darasan basi unaweza "kutoboa". Ila kwa kozi za uhasibu tu.

By the way hata masomo au madarasa yake huitwa "Review Classes" kwa maana ya kwamba hurudia yale yale tu ya darasani (chuoni), na sio silabas (mtaala mpya).
 
Centres zipi kwa Moro au Dar wanatoa review classes?
 
Kwa Moro sina uhakika, sio mwenyeji huo Mkoa,
Ila Kwa Dar Ungeenda pale NBAA,mkabala na Maktaba Kuu au Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima.
NBAA ndio wanaoratibu mitihani ya CPA na ndio wanaotoa vyeti, ukiuliza uliza hapo, hutokosa. Enzi zetu pale alikuwepo Mzee Mmoja aliitwa MUSASIRA, alikua maarufu kidogo kwa hizi Reviews na taasisi (Centre) yake iliitwa APT Financial Services.

Kuna Mwengine aliitwa Rashid, alikuwepo pale Ilala/Karume, kuna shule ya msingi iliyoko pembeni kwa Mkuu wa Mkoa. Kuna wajamaa wengine walikuwepo pale ukitoka Faya, mbele ya jengo la UVCCM kuna jengo lilikua likiitwa Jaffery Complex kabla ya DIT.
 
Check PM
 
Mkuu kuna kitu kimoja labda nkuulize, wewe una qualification gani kwani?
Maana ninaweza nikawa nakupa habari za CPAkumbe hauko qualified.
Zile stages nlizokutajia kuanzia Foundation, Module A, B.C, D, E & F ndio proper channel za CPA.
Ila katika stages hizi unaweza kusamehewa baadhi ya stages (kua exempted) kulingana na elimu uliyofikia,

Mfano kama una diploma ya uhasibu unaweza kusamehewa foundation stages ukaanzia Intermediary Stages (Module A). Vivyo hivyo kama una Degree ya Uhasibu (au Advanced Diploma ya Uhasibu) unaweza kusamehewa Foundation na Intermediary Stages ukaanzia Final Stages (Module E & F).

Na kama una ACCA basi hata hizo E& F unaweza kufanya baadhi ya masomo tu ukapata zako CPA. Sasa wewe inabidi ujipime hapa una qualification gani hasa ili ujue ukianza kusoma hiyo CPA utaanzia wapi.
 
Daaah mkuu unaelezea vuzur an duuh big up!! Sorry namimi Nina swali hapo mfano level ya foundation or hata intermediate hua mtu unachukua mda gan mpaka kumaliza level ?
 
Foundation ina Stage mbili tu, ATEC 1 & 2, na mitihani ni May na November. So Mungu akikujaalia usipofeli mitihani basi hii Stage Foundation utaimaliza ndani ya mwaka mmoja.

Na Intermediary miaka miwili. Yaani Module A&B mwaka mmoja (May & November) respectively. Module C& D nayo mwaka mmoja. Assumption hapa ni kua kila ukifanya mitihani yao haufeli. Hili ni la muhimu sana maana kwa kawaida by then wanaofaulu hua ni wachache kuliko wanaofeli.

Ila narudia tena, sina uhakika kama huu utaratibu bado upo mpaka sasa, maana mie nilisoma 2007. Pengine unaendelea hivi hivi au wameupangua. Sijafuatilia tena kuangalia wanafuata utaratibu gani kwa sasa.
 
Mkuu kuna kitu kimoja labda nkuulize, wewe una qualification gani kwani?
Maana ninaweza nikawa nakupa habari za CPAkumbe hauko qualified.
Zile stages nlizokutajia kuanzia Foundation, Module A, B.C, D, E & F ndio proper channel za CPA.
Ila katika stages hizi unaweza kusamehewa baadhi ya stages (kua exempted) kulingana na elimu uliyofikia,

Mfano kama una diploma ya uhasibu unaweza kusamehewa foundation stages ukaanzia Intermediary Stages (Module A). Vivyo hivyo kama una Degree ya Uhasibu (au Advanced Diploma ya Uhasibu) unaweza kusamehewa Foundation na Intermediary Stages ukaanzia Final Stages (Module E & F).

Na kama una ACCA basi hata hizo E& F unaweza kufanya baadhi ya masomo tu ukapata zako CPA. Sasa wewe inabidi ujipime hapa una qualification gani hasa ili ujue ukianza kusoma hiyo CPA utaanzia wapi.
Mkuu umenigusa hapo kwa mwenye Diploma ya Uhasibu kuwa unaweza pewa exemption ukaanzia level ya intermediate?

Sidhani kama upo sahihi
 
Those Days Ukisema Intermediate ilikua ni Module A, B, C & D,
Na Foundations ndio ilikua ATEC 1 & 2.

Ila Intermediate ya Sasa unakua unazungumzia Module C & D. Zile Module A & B zimerudi kua Foundations nazo. Wewe unasema siko sawa kwa Mwenye Diploma ya Uhasinbu kuanzia Intermediate kwa Sasa (kuanzia Module C) au hata Zamani (Kuanzia Module A) ilikua haiwezekani?
 
Kwa zamani ilikuwa sawa ila kwasasa Hapana kwa kweli.
 
Sasa kwani mimi niliandikaje Mkuu?
Rudi tena kunisoma utanielewa. Nisome kwenye #5 na pia conclusion yangu #16 utanielewa. By the way nilivyoandika Intermediate nikaelezea ni Module A ulitakiwa uelewe nazungumzia utaratibu wa Zamani. Sasa mbona umechukua tu neno Intermediate ku conclude kua sio sawa but ukaacha "Module A" iliyoko kwenye mabano?

Anyway, huu ulikua mfano jins Exemptions zinavyofanyikaga.
 
Back
Top Bottom