Wakuu salama?
Najaribu kufikiria je kuna mtu kampuni au watu wanaofundisha topics mbali mbali za CPA final stages kwa njia hii ya CDs?
Kama bado walimu wa reviews hii ni fursa kwenu.
Kama zipo naomba mwenye kufahamu anielekeze ili niweze fuatilia huko na kujisomea mwenyewe.
Ahsanteni sana kwa sasa.
Nawakilisha.