Non accounting degree unaanzia foundation. Hakuna mambo za mod A Mpaka F. Director Maneno amewarahisishia. Stage ziko tatu, foundation (5 subjects), Intermediate(6) na final (4)...kwa mantiki hiyo uko-eligible to sit for foundation stage, naamini kichwa yako iko vizuri baada ya mwaka 1.5 ushakamata gamba