Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,875
- 50,705
Mkuu Siyo mmoja, Siku nne zilizopita Meneja Bank flani KIbondo......RIP amepasss awayKwa mujibu wa Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali (Mstaafu) Emmanuel Maganga tayari mkoa huo umeshapata mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 na wengine zaidi ya wanne sampuli zao zimepelekwa Dar es salaam kwa uchunguzi zaidi
Chanzo Ayo Tv.
Hao waliokimbia Dar, KLM, Arusha na Mwanza ndio wamepeleka ugonjwa KigomaNilikimbizia familia huko sasa naona imebisha hodi na huko!Mmmh Mungu tunusuru!
Ulisema umesalimu Amri unaitazama tu inavyokwenda!!Ngoma inasambaa tu
Kwani watu wa Dar hawataki migebuka?
Labda jiwe la chatoHakuna jiwe litakalobakia juu ya jiwe
Na hapo ni jirani na Burundi ambako huko wanaendelea kufanya mikutano ya Kampeni za uraisi,kikinuka tu fasta jamaa wameshajaa Kigoma hapo.Nilikimbizia familia huko sasa naona imebisha hodi na huko!Mmmh Mungu tunusuru!
Ni uongo uongo. Ila wameanza kugunduwa hailipi. Wanafanya propaganda kwenye utangazaji maana wao ni politics everything na kwa vile ni mwaka wa uchaguzi. Wamepanic.Sampuli zapelekwa Dar ! hii nchi iko nyuma sana !
Hizi takwimu si zilitolewa juzi? Naamini pia wameongezekaKwa mujibu wa Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali (Mstaafu) Emmanuel Maganga tayari mkoa huo umeshapata mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 na wengine zaidi ya wanne sampuli zao zimepelekwa Dar es salaam kwa uchunguzi zaidi
Chanzo Ayo Tv.
RIP Rc MagangaHakuna jiwe litakalobakia juu ya jiwe